Habari Wana JF.
Wakuu nimeleta mashine za kilo 7 za kufulia, aina ni Dnyker, high quality brand kutoka China ikifanya mauzo vizuri sana bara la Ulaya (Europe)
Zina uwezo wa kufua, kusuuza na...
Habari nauza viatu sio virefu sana wala vifupi sana, vimevalika mara moja tu, vinapatikana Dar-es-salaam. Bei ni 20,000/ size ni 37 kubwa hata 38 anavaa.
Karibuni
Ninahitaji kiwanja maeneo ya Tegeta, Madale.
Ukubwa: sqm 450-500.
Budget: 15m.
Nitafurahi sana kama ntapata kutoka kwa mmiliki mwenyewe na kisiwe na migogoro.
Mwenye nacho naomba ani PM
Habarini Wana JamiiForums,
Natafuta battery ya Laptop tajwa hapo juu, nikipata Mpya au used yenye ubora pia ni sawa tu.
Aliyekuwa nayo tuwasiliane hapa chap tufanye biashara.
Picha ya laptop na...
Nauza machine ya katungeneza kahawa , capuccino etc. Inaweza kutumika ofisini , nyumbani, au hata kwenye biashara kuuzia chai na kahawa.
Machine iko automatic na inaweza kukupa hesabu ya vikombe...
Kama uko Tabora na unauza tv inch 32 niambie nataka ilio tumika nataka kwa leo au kesho nitajie bei na aina ya tv na sehemu ulipo na pia kama una picha itapendeza.
Mtambo mdogo wa kuua Mbu pamoja na Dawa zake ⚕
Hakuna moshi, hakuna harufu mbaya ⚡️
"Kwa Tsh 11,000 utapata
-Mashine
-Dawa Box 1
-Free Delivery 🚚
Price 11000 Tsh
☎️ WhatsApp...
Kwa wale ambao Computer Laptop au Computer Desktop zao ni nzito mpaka unahisi kero usijali.
Mzigo huu hapa SSD SATA III GB 512 kwa Tsh 80,000/= tu unafurahia maisha kwa Computer yako kuwa chap...
Mali bado mpyaa zina mabox yake na documents zake hakuna ujanja janja, sababu za kuuza ni matatizo yanayohitaji hela ya haraka
Home theater Og ya LG WATS 1000
Ina spika 4 na mja ndogo mziki...
Kazi nzuri za Aluminium tuwasiliane maboss zangu support yko muhimu Sana kwetu.
Tuko Mbezi Makabe, wale wa mikoani tunafika pia pia
Bei zetu ni nafuu.
Kwa mawasiliano zaidi, tuwasiliane kwa...
Kama unahitaji kufanyiwa full house wiring, motor rewinding, solar panel installation, na huduma zote za umeme.
Wacheki [emoji117][emoji117] Azizi Umeme wanapatikana Ubungo external, uzuri hawa...
MOLAS Autohub ni duka la rejareja la ndani ambalo huhudumia jamii ya karibu kuhusu vipuri na pia kutoa huduma za kuagiza mtandaoni. Tuna utaalam wa kuuza Sehemu za Magari za Uropa kuanzia Mwili...
Habari wana jamii napenda kuwatangazia pia ,japo wengi mnanijuwa kwa kuuza dagaa, pia nimewaongezea kuwauzia vumbi la dagaa kama chakula cha mifugo.
NAPATIKANA MWANZA-KIRUMBA-MWALONI...
Umuofia kwenu!
Shamba lenye ukubwa ya Ekari 100 Linauzwa.Shamba lipo Kijiji Cha Kwandugwa.Umbali wa Km 14 toka Mkata Centre. Shamba ni pori.Halijawahi kusafishwa.Linauzwa kwa Tsh 18M.Mazungumzo...
Habari ya leo humu, tunapenda kuwatangazia jamii kwa ujumla tunauza maziwa ya ng'ombe ambao tunakamua wenyewe.
Kwa waliopo ndani ya jiji la Daslam basi kuanzia lita tano (5) tunakuletea mpaka...
Habari zenu wadau.
Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 5. Shamba lipo Bagamoyo maeneo ya makurunge, Kama unatoka Dar kupitia bunju ukifika pale kwenye mzunguko (round about) ya kuingia mji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.