Habar za humu wakuu. Nahitaji kufungua offisi ya uwakala wa kutoa huduma za kuweka na kutuma pesa. Sasa nahitaji mtu mzoefu anijuze hizi laini zinauzwaje na pia mtaji wa hii biashara ni shilingi...
Karibu KP ELECTRICALS
[emoji362] Tunafanya wiring na maintenance za majumbani, viwandani na kwenye workshops.
[emoji362] Tunafanya wiring na backup za solar systems zote
[emoji362]Tumebobea...
Kuna tangazo humu niliona kuna kampuni wanauza site za migodi mbalimbali ya graphite na makaa ya mawe ila nimejaribu kusearch thread sijaipata.
Well Nina offer hiyo kwa anayemiliki mgodi wa makaa...
Hii ni pasi inayotumia mvuke wa maji. Ni rahisi sana kutumia kwani haiunguzi nguo hata ukiwa na haraka. Kwa wale wenye maduka ya nguo za mitumba hii itawafaa zaidi kwenye biashara zao ila...
Utalii wa Majini
Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo...
Tunatoa huduma ya kudesign CV za kisasa na zinazo vutia, pia tuna andika CV kwa ubunifu wa hali ya juu.
Kwa mawasiliano: 0628673444 au Whatsapp 0767673440.
Baadhi ya mifano ya kazi zetu.
Bei...
Salaam wakuu,
Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion.
Bajeti yangu...
Wakuu habarini.
Nahitaji fundi wa kudesign shelves za mbao (spray painted) kwa ajili ya pharmacy mfano kama wa kwenye picha hapo chini.
Pharmacy ipo Zanzibar.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
Huduma ya kuagizia bidhaa kutoka dubai bado zinaendelea leo nawaletea GAMING PC kwa NUSU BEI
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Dell Precision 5520 4K
core i7 7th generation
RAM 32Gb
STORAGE 512Gb SSD...
Habari Wakuu! Nina uhitaji wa gari iliyopata ajali subaru Impreza model ya mwaka 2008-2010. Kwa mwenye salvage ya aina hiyo ya gari tunaweza kuwasiliana.
Habari wadau nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016
Ninatoa 100k
Nicheki 0621973591.
Note:
Sihitaji pirated wala cracked version.
Ikiwa kwenye cd yake ni bora zaidi.
Habari za muda huu wanajamii Forums. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alineyetujalia uzima.
Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kutokana na mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.