Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Google pixel 4xl - Used Ram 6GB Internal memory 64GB Face ID Bei: 320K Phone number: 0629 153 727
1 Reactions
5 Replies
554 Views
Ceramized mineral stone plaster/Marble wall coating. It is decorative and colored surface coating material prepared by mixing acrylic copolymer based binders and the natural granules of colored...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kisiwe mbali sana.Gari moja au daladala nauli isizidi 1000. Sehemu yenye umeme.umbali usizidi Km 15 mpaka city center. Kiwanja kiweze kujenga vyumba 4 kiwe na Ukubwa mita 500. Ofa yangu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tigo wameboresha Vifurushi vyao vya malipo ya baada kama ifuatavyo. DATA ONLY 15K......15GB 30K......35GB 40K.......48GB 60K.......72GB 100k........120GB COMBO 15K........10GB + dakika 400...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana jamvi, Leo nawaletea faida na hasara za biashara ya kujenga nyumba na kuuza almaarufu kama “JENGA UZA” Hii ni biashara nzuri sana kwa wawekezaji ambao hawataki stress...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wakati huu? Hii ni kwa wale wote wenye mapenzi au wanaovutiwa na shughuli za kilimo na ufugaji hususani ufugaji wa samaki Tuna toa huduma ya kuuza Vifaranga/mbegu bora ya samaki aina...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Kwa mnaohitaji vifaa vya production, cameraman, editor, graphic designer karibuni Tunakufanyia kazi yako kwa usahihi na umakini mkubwa Mawasiliano yetu ni 0685416752
0 Reactions
3 Replies
392 Views
Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Habari wadau, Nauza godown. Lipo mkata handeni barabara kuu irudiyo msata/pwani Lipo kilometer 2 toka mkata stand Lipo meter 100 toka barabara kuu itokayo mkata kurudi pwani Maji yapo mpaka...
0 Reactions
13 Replies
690 Views
FC Buyern munchen Arsenal Liverpool FC Barcelona Na nyingine kibao zote zikiwa ni original. Nauza kwa Jumla na Rejareja Jumla Tsh 18,000/= kuanzia 5pcs Rejareja Tsh 22,000/= Simu 0622882036...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Ninauza nyumba ipo Mwanza maduka 9, maji na umeme vipo, nyumba ipo jirani na barabara kuu ya maduka 9 kiloleli. Bei naanzia 16 Milioni, maongezi kidogo yapo. Simu 0717072172.
2 Reactions
4 Replies
882 Views
Mwenye connection aniambie jamani, 2022 ni mwaka wa kujenga sasa.
4 Reactions
90 Replies
11K Views
Mawasiliano 0715454455
1 Reactions
16 Replies
720 Views
Nyumba inauzwa Magomeni Makuti A, Mtaa wa msikiti Mdogo Documents: Mirathi Skwata Meter 120 main road, tandale road. Bei 125milioni (mazungumzo yapo) Nipigie +255712347749 +255765755455
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Panasonic s1 full frame ipo na convetor ya ef unatumia lens za canon Bei 4.3m OR EXCHANGE PLUS TOP UP ALLOWED 0716917896
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Gari inayofanana na hiyo picture au Kama hiyo inahitajika. Phone 0717371028. Karibuni Sana.
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Magauni quality ya mtumba Premium grade hii ni zaidi ya grade A Mengi bado mapya yana Lebo zake Tunauza Jumla kuanzia gauni 15. Gauni bei ni sh. 8,000 - 15,000 Karibuni Tupo ubungo Mawasiliano...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Kiwanja KINA sqm 1298 kipo Mbutu kigamboni, kina hatimiliki ya wizara ya ardhi isiyokuwa na deni,kutoka kiwanja kilipo kufika Baharini ni dakika 4 tu kwa kutembea. Bei milioni 40...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wandugu nauza kadeti original tsh.23,000 ni za kuvutika na staff jeans (office jeans) tsh 22,000 pia jeans 18,000 pamoja na mashati na t-shirt18,000 nipo dar es salaam ukiwa dar nakuletea...
14 Reactions
768 Replies
148K Views
Ndio ipo Kigogo Mburahati, bei ni milioni 110 tu. Nyumba inatazama barabara ya lami inayoenda chuo cha NIT Mabibo kutokea Madoto.
0 Reactions
3 Replies
569 Views
Back
Top Bottom