Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mwandege wilaya ya Mkuranga. Mkoa wa Pwani, Mwandege. Nyumba ina vyumba vitano na sitting room. Ina choo cha kudumu/shimo. Nyumba ipo kwenye lenta bado kupaua tu. Ipo kwenye Barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Habari za Wakati Huu? BIASHARA YAKO INAHANGAIKA KUTAFUTA WATEJA? Je wewe ni mtoa huduma,muagizaji au mzalishaji wa bidhaa zenye Ubora.Je unahitaji kufikia Soko Kubwa kwa Gharama Nafuu?Je unahitaji...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76 Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000 ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master Pia ina; Sitting room (Kubwa) Dining Room Jiko kubwa Stoo...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
wana JF, kuna ile unakutana na mtu yaaan kwa jinsi anavyonukia tu unaanza kuwazia akilini "kama huyu si mtumishi wa bank basi atakuwa plan international ama kwenye wizara flan ivi serikalini" ila...
4 Reactions
162 Replies
36K Views
Hujambo kaka/dada. Iwapo umekwama kufanya muamala wa kubadili na kutoa senti zako zilizopo kwenye PayPal ama Skrill, basi ujumbe huu ni wako. Ingia inbox tusaidiane.
0 Reactions
16 Replies
651 Views
Habari wakuu. Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C. Engine: cc1490 Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo - Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Nyumba ya Vyumba vitatu, jiko, sitting room, chumba kimoja master. Eneo kubwaa linatosha kuzungusha fensi, dakika 5 main road ya kilwa road. Mwandege iko mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga, unaanza...
1 Reactions
8 Replies
916 Views
Habari za masiku wakuu? Natumai nyote mpo salama, kwa wale waliotangulia mbele za haki tuwaombee kwa Mungu awaweke pema, na wale wagonjwa Mungu awape ponyo. Tulipoteana kitambo kirefu kidogo...
11 Reactions
821 Replies
112K Views
TOYOTA SPACIO NEW Model CC 1490 HAINA CHANGAMOTO BEI: M8 .5 Exchange Allowed SIMU: 0710381545
0 Reactions
1 Replies
544 Views
Jinsi ya kujisajili katika mfumo wa NeST kama Mzabuni Fuata hatua zifuatazo; 1. Ingia kwenye Tovuti: www.nest.go.tz 2. Bofya 'Register as a Tenderer' 3. Chagua nchi kwa kubofya 'Select Country'...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Wakuu kuna chaka nipo kama mnavojua najihusisha na mambo ya uvuvi na sehemu niliopo kuna changamoto ya usafiri maana ni porin sasa nilikuwa nahitaji mtu ambaye tunaweza kuingia mkataba...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari! Kalibun kwa huduma za ufundi umeme na solar, tunafany design za taa mbali mbali za umeme. Tv show case na wirring zote kwa ujumla, tunafunga submitter aina zote. Tuna design taa mbali...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
MAELEZO JUU YA UTOAJI RISITI KIDIGITALI UKIWA NA MFUMO WA DIRM VFD KWA KUTUMIA SIMU YAKO AU LAPTOP YAKO. DIRM VFD ni Mfumo unaotumia teknolojia ya kisasa inayokuwezesha kutoa risiti halali za EFD...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
ISUZU Bighorn ipo Japan wewe unapaswa kulipia freight 1,000 USD na pesa ya wine 260 USD kwa mmiliki. 3050cc, mileage 239,000 Kms. Year of manufacturing 1996
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Specification ya lenovo Laptop Window 10 pro, Processor core i5, Hard disk, Storage 300GB, Ram 8GB Hali yake ni imara na charger inadumu kwa masaa mengi nicheck 0624000771
2 Reactions
1 Replies
663 Views
Habari wakuu Kutokana na gharama za uandaaji wa mitihani kuwa kubwa katika shule yetu, tumekuja na wazo la kununua vifaa vyetu ili kuokoa gharama Vifaa tunavyo hitaji ni Printer, Photocopy machine...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nyumba ina vyumba vinne,kimoja master,sitting room,dinning room, jiko,public toilet ndani eneo kuubwa unaweza kufuga. Kodi laki mbili na nusu kwa mwezi,umbali wa dakika 5paka 8 kutoka main road...
1 Reactions
5 Replies
424 Views
Habari wadau wote wa JF, Naomba ushauri wa simu midrange nawaza pata Kwa tsh. 500k. Kwa sasa nimeona xiomi Redmi note 12 (8gb 128gb). Kwa budget hiyo naweza ipata? Na inauzwa Bei Gani mpya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake Kina ukubwa sqm 850 Kipo mita 30 kutoka barabara kuu *Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga Umeme ushafika hauhitaji nguzo...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimepata kazi hapa ya kusafisha sink la choo na mwana jf shukrani kwake pia kama unauhitaji wa kusafishiwa sink la kunawia ama la choo lililofubaa ni cheki pm ama piga namba 0783672221 .Karibuni...
6 Reactions
4 Replies
640 Views
Back
Top Bottom