Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nataka kununua Toyota Brevis nina 5M mwenye nayo nipe namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Habari ya muda huu wakuu. Kwa majina naitwa Mr. Dwelnish ni sehem ya uendeshwaji wa duka letu jipya kabisa kariakoo la Dwelnish linalojihusisha na uuzaji wa mashuka,pazia, foronya, na taulo Kwa...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu salama, Nauza tyres4 mpya kabisa zina muda wa miezi 3 na rim zake mpya kabisaa. Tyres ni Goodyear ni imara sana. Ukitaka tyre peke yake nitakuuzia na rim pia. Tyre size ni 215/45/R17 na rim...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Nina Kokoto zangu zipo site nauza maana wajuba wanaziiba kila nikienda zinapungua so ni Bora niuze ili nipunguze hasara. Kokoto zipo Kigamboni Dege. Ukiwa maeneo ya Cheka mwongozo. Dege. Geza na...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Furniture Safi 0786437672 TV show case ✅Urefu ni fut 5. 5 ✅Bei ni Tsh 280,000 Tunapatikana Manzese, Argentina
1 Reactions
0 Replies
544 Views
Karibuni kwa huduma bora na kwa wakati, Viwanja, Nyumba na Magari, vinapatikana kwa bei rahisi zaidi! Kwa mawasiliano zaidi: 0769767600.
2 Reactions
57 Replies
4K Views
OFFER OFFER OFFER OFFER OFFER *MWACHA_ELECTRONICS COMPANY LIMITED* Wanakuletea offfer kabambe kwenye huduma zifuatazo. Electric Fence Installation with CCTV Installation. As for 1metre is...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Kwa wale wenye kutaka kuishi humo au kuweka Sheli ya mafuta au biashara kubwa yyte hii sehemu inafaa. Kuna nyumba mbili zimeungana na PANAUZWA kwa pamoja .Eneo lipo karibu kbsa na main road...
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Gazeti la Tanzania Yetu linauzwa. Mnunuzi serious awasiliane wahusika 0785 400 200.
0 Reactions
5 Replies
690 Views
Kwa wale wanaozifahamu na wanawafahamu wanunuzi naomba tuwasiliane kuna mzigo mkubwa..thanx
0 Reactions
3 Replies
828 Views
Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Ipo kibaha visiga,nyumba ya kisasa, Vyumba viwili,kimoja master,sebule ,dinning,jiko, Uwanja mkubwa squire meter 800 Ina fensi ya kisasa. Umeme na maji vipo, Umbali km moja kutoka morogoro road...
6 Reactions
90 Replies
8K Views
Kiwanja kinauzwa tegeta wazo ,sehemu inaitwa Kontena.500m kutoka barabara kuu Ukubwa:Sqm 2879 Number ya kiwanja 201 Bei :90m Mazungumzo ruksa Hati ipo Njoo DM kwa ambaye yupo serious. Mm
3 Reactions
1 Replies
504 Views
Nyumba iko mwandege magengeni wilaya ya mkuranga,mkoa wa pwani, dakika 5 kutokea main road ya kilwa road ilipo, Ina vyumba vinne kimoja master dinning room,sittng room,kitchen,stoo.uhani ina...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Guten Tag meine älteren Brüder und Schwestern. Ich, dein junger Bruder (zuletzt geboren) Infantry Soldier, geht es gut. Gott sei Dank, dem Allmächtigen. Meine Verwandten; Ich komme aus der Stadt...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Wakuu nina mzigo wa fridges nzuri sana za boss hapa, nautoa nataka uishe chap sana ili nilete mzigo mwingine, hivyo basi nimeweka punguzo kubwa sana la bei. Ukinunua kwetu unapata Usafiri bure...
1 Reactions
3 Replies
774 Views
Habari wakuu! QGIS ni programu ya bure. Jina QGIS linamaanisha "Quantum GIS" na awali ilianza kama mradi wa Quantum GIS mnamo mwaka 2002. QGIS ni program bora sana kulinganisha na program...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom