Gari nzuri sana.
Nauza bei nafuu, namba D. Engine 33.Tairi mpya, inafanya kazi kama daladala.
Ipo Kitunda Dar es Salaam.
Nipigie uchukue gari nzuri ya biashara: +255 782 425 915
About Us:
Masoko International Company is a Strategic Consulting Firm that utilizes modern consulting techniques and technologies to help our clients in identifying opportunities and utilizing...
Habari zenu wakuu?
Nahisi kichwa cha uzi kinajitosheleza, japo kwa kuongezea kama wewe ni mmoja kati ya wanaoweza/kumfahamu anayeweza naomba tuwasiliane.
Njoo PM chap kwa haraka tufanye biashara.
Habarini waungwana!
Ni hp intel laptop
RAM ni 8GB
HDD ni 500GB
CPU ni @2.4GHz
3 USB ports
Ethernet port
Wifi
Adapter ipo
Battery ni 30 min
Kioo kina mistari miwili
Bei ni 280K TZS tu!
Karibuni...
TUNAPENDA KUWAKARIBISHA KUJIUNGA NA CHUO CHETU KWA KOZI YA CLINICAL ASSISTANT. NA NURSING. KWA WALE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE ( 4) NA CHA SITA (6) CHUO KIMESAJILIWA. REG...
Habari ! Wana Jf Leo nimewaletea Uzi kuhusu Spare za magari Unamiliki Gari na gari yako ina changamoto ya aina yoyote Uliza bure na unapewa ushauri bure
TAHADHARI [emoji91]
Ewe mmiliki wa gari...
Hii tv ina miezi michache sana na ili kuamini unapewa na box lake na mazaga zaga yote.
Kwanini inauzwa mapema sana? Kuna mgonjwa yupo hospitali inahitajika hela ya haraka. Bei ya dukani ni 500k...
Habarini ndugu zangu.
Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.