Tangazo Wahi viwanja Kiwanja kibaha miembe saba mita 20*20 (Square mita 400) bei Million 4.5
Mteja unaweza kulipa 250,000/= kila mwezi kwa mwaka na nusu ukitaka kulipa cash bei Million 4 kamili...
Simu hiyo hapo nauza nitajie ofa yako ina crack kidogo tu na hiyo creck ni kimstari tu na hakaonekani but iko poa sana inapga kazi fresh bila tatizo nauzia shida tu wakuu nimekwama..nipo Moshi...
Habari Natafuta simu aina ya Samsung S6 edge Plus yenye storage yoyote
Muhimu iwe clean na isiwe na shida yeyote ile iwe inapiga kazi vizuri.
Uwe Dar es salaam / Offer Yangu Ni Tsh 250,000/=...
-Used for 2 month.
-Haina tatizo lolote la kiufundi utaruhusiwa kutest.
-Utapewa contact na kila kitu ikikuharibikia unarudisha,hatukuuzii kijanja barabarani,simu ipo dukani.
Na kuna Samsung S10...
Simu hii RAM yake ni 2.
Internal memory 32.
Mtandao uko vizuri.
Kifaa bado ni kipya Sana tu utakipenda tu.
Ni Tsh 220000/= tu( tunaweza kuzungumzia Kama ukija powa)
PICHA IMEAMBATANISHWA.
Sent...
Nokia 7.1 inauzwa ipo katika Hali nzuri imetumika miezi miwili tu haina mikwaruzo yoyote
Ni 64GB, Android 10, 4GBRAM, battery 3060mah ina charge mpaka 50% ndani ya dk 30, ni lain 2,
Camera ya...
TECNO POP 2F FOR SALE.
16GB ROM
8MP Front camera with flash
Face unlock
Fingerprint sensor, 12month warrant
Almost new, imetumika muda mfupi
P'se call 0653233987, 0767686874
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.