Nauza pikipiki yangu,
Aina: Sinoray
Cc: 125.5
Muda: Nimeitumia mwaka mmoja kwa shughuli zangu binafsi,
Ni nzima sijawahi kufungua engine
Price: 900,000Tsh
Location: Dar es Salaam, Mbezi
Habari,
Hii gari aina ya volkswagen Golf, engine yake imenok inahitaji ovehaul.
kwa anaehitaji tuwasiliane 0626947625
Gari ipo Mbezi Beach- Shule
Price ni 3.3m
Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:-
1. Haijawahi kupata ajari.
2. Hijarudiwa rangi
3. Millage isizidi 70,000 Kilometers
4. Namba D
5. Iwe ni Automatic
6. Iwe na AC
7...
Habari zenu wakuu poleni na kazi za hapa na pale,
Ninapenda kuwataarifu wafanya biashara wa mazao hasa wanunuzi na wahitaji wa mazao kama Soya beans (inapatikana Malawi), karanga( nyekundu na...
Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni.
Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na...
Habari zenu wana jamvi, kwa wenye kuhitaji karanga kuanzia tani 4 na kuendelea wanakaribishwa saana, kwa aliye tayari naomba tuwasiliane PM. Mimi kwa sasa napatikana kaliua Tabora, popote Tanzania...
Habari za leo wakuu
Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam. Nimekuwa nikiwasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam katika kuwanunulia bidhaa kwenye maduka ya jumla yaliopo hapa Dar...
Mo graphics studio tunaendelea kutoa huduma kwa wateja wetu Kama ifuatavyo.
Tuna design mabango ya biashara(Banners) mbali mbali kwa gharama ya 20k.
Tuna design stickers kwa ajili ya ku brand...
Wakuu habari,
Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu...
Habari Wana JF, Natafuta Indoor shoes kwa ajili ya biashara kuanzia piece 50 na kuendelea. Naomba bei ya jumla.
N:B Ziwe quality nzuri au zifanane na picha zilizoambatanishwa hapa.
Cont...
Greetings,
We would like to take opportunity to invite interested persons for the disposal of above items in our yard, please for more details and pictures contact the following number...
Nahitaji vioo vya gari used yaani vilivyotolewa kwenye magari na visivyotumika tena, viwe vyeupe(plain) yaani visiwe tinted white kwa bei used ya uchumi wa kati.
Kama kuna mtu ana connection ya...
Tangazo:
Habari za leo wateja wetu wapendwa,
Tunapenda kuwatangazia huduma zetu za ushauri wa kodi. Kama mmiliki wa biashara au mtu binafsi, tunaelewa ugumu wa kuendesha shughuli zako za kila...
Fundi wa rangi pamoja na material mbali mbali tuite sasa tuongeze thamani ya nyumba yako kwakupaka rangi nzur zenye ubola wa kisasa tupigie kwa mawasiliano namba 0718884670
Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya...
Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.