Punguza gharama za ujenzi kwa kununua vifaa vya bomba kwa bei ya jumla jumla.
IPS, PPR, GS, PVC
Gutter
Karibu
Gerezani, kariakoo
Whatsapp +255 669 494650
Ukiitaji bei njoo whatsap au fika dukani...
Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na kwa bei tajwa hapo juu,
Mawasiliano piga 0746021481
Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki...
Electric OVEN PMC (imetumika miezi miwili) with 2 hot plates (ina majiko mawili hapo juu)..
ni 48 Litres kwa tsh 195k.
inachoma, kuoka na kupasha.
inapatikana dar - kimara.
Jamani nina eneo langu liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. naliuza. Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining.
Nimeezeka vyumba 2 na...
Prado machozi for sale
Bei Mil 90
Engine 2tr
Petrol
Automatic
Location Dar es salaam
Gari mpya sana haijarudiwa rangi kokote
Pigs simu ukaone Gari kwa serious buyer ukaongee nae
0714787795
Jamani naomba anayejua mtu huyu alipo anisaidie kumpata. Anaitwa Mr Carlos Sendwa, alisoma PCB sekondari ya Pugu STream G 1980-82. Wakati huo mimi nilikuwa PCB stream F, mwenyeji wa Mbeya. Wazazi...
Ndugu habari zenu.
tumeamua kuwasaidia watanzania hasa kwa wale wafanyabiashara wakubwa, wadogo pamoja na wajasiriamali. Kumekuwa na malamiko mengi sana kwa Watanzania kuhusu makadirio ya kodi...
Najidakia store tunakuletea powertilla aina ya kubota kwa millioni tisa na laki tano tu (9.5m)
Na offa ya usafiri bure ndani ya Tanzania offa za pasaka hizi wahi
Tupo Ubungo external lolote...
Habari zenu
Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab
Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
Habari za majukumu,
Nauza wigs original 100% Human Hair kwa bei rahisi saana
Human hair with frontal lace
Rangi ni black na brown.
Ni original kabsa, unaweza
Kupasi
Kutong
Kubadilisha rangi...
Nauza samsung tablet A10
Ram 3 GB
Internal 32 GB
Inatumia line 1
Battery 5000amh
Price 300,000
Imetumika miezi 3 ni bado ni mpya
Alie serious aje pm
Napatikana Dar es Salaam
Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki kabisa mbao ndefu za dawa 2*4 ni shilingi 13,000 mbao za futi 12 za 2*4 ni shilingi 5000,2*2 za dawa ni 2800 ofisi zetu zipo mbezi mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.