Kwa Tsh 77,000 tu!!
Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!!
Ili kupata offer hii piga...
Unawapa kitafunwa gani wageni wako?
Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi?
Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu.
Bei...
Mwenye kujua wapi miche ya mitiki inapatikana.
Nahitaji kwaajili ya kwenda kupanda kwenye shamba langu lililopo Mwanza.
Na wale wataalamu wa hichi kilimo cha mitiki kinaweza kukubali katika ardhi...
Habari!
Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA imetembea km 1500.
Nimenunua 8,100,000
-Ina bima kubwa mnaita comprehesive ya mwaka 1, itaexpire 07/02/2024. Kwa 600,000
-ina latra ya 32000 expire...
*SAFETY BOOT ON SALE*
Nauza Safety boot aina ya Safety jogger. Namba 42 au 8. Ni heavy duty pia ni Oil resistant antislip. Ina chuma mbele. Ni mpya kabisa na box lake haijawai valiwa. Ina...
Habari wakuu
Land Rover Defender 110
Gari ni ya mwaka 2000
Documents halali zipo
Nzima, kila kitu kiko sawa
Bei 35 Millions
Gari iko Sinza, Dar es Salaam, kwa aliye interested karibu sana na...
Habari Wadau,
Natafuta gari ndogo (Sedan) ya kukodisha kwa matumizi binafsi route za Dar tu, dereva nitakuwa mwenyewe, wiki 2 kuanzia 27 March 2023.
For now niko abroad ila tunaweza arrange in...
Natumaini hamjambo, katika harakati za kujikwamua nililima Tangawizi hii imekomaa vya kutosha maana ilipaswa kuvuna toka msimu ulio pita lakini sasa ndio nipo navuna na nataraji kuvuna zaidi ya...
gharama za uchimbaji visima kulingana na mkoa uliopo
(Dar es salaam 50,000 kwa mita moja
(pwani,kibaha,mkuranga,kimanzi chana,mlandizi,kisarawe,Bagamoyo 60,000 kwa mita moja
(morogoro) 90,000 kwa...
Switch bado ni mpya kabisa na box lake lipo. Mwenye Uhitaji na hiyo switch hapo inapatikana kwa bei rahisi sana kwa ambae atahitaji anicheki kwa namba
0652414900 au 0744885518
Location- Dar es...
Habari za wakati huu;
Tuwasiliane kwa wale ambao wanahitaji kununua mashamba na viwanja katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.Maeneo tunayouza ni yaliyopimwa na ambayo hayajapimwa.Maeneo yako...
Hivi unajua kwa 90% madereva wamekua chanzo cha biashara ya usafirishaji kufa. Haya ndio mambo unayotakiwa kuzingatia wakati wa kuajiri dereva
Uzoefu wa Dereva; Bila kujali watakua wakiendesha...
PIA BAISKELI ZA WATOTO ZIPO Tsh 120,000/=
Tunapatikana Dar Es Salaam,Temeke karibu na Davies Corner mtaa wa Sambwisi karibu na shule ya Sekondari ya Tandika Maarifa
Namba 0713 898927
Jumatano wiki hii ilikuwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya tajiri maarufu nchini Tanzania Reginald Mengi. Hata hivyo, tajiri huyo huyo alifariki wiki nne kabla jijini Dubai, Falme za Kiarabu.
Katika...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwamba natafuta mashine ya kusajilia line za mitandao yote.
Naomba msaada wa maelezo jinsi ya kupata
phat_07
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.