Very Clean Condition, Everything works perfectly [emoji736]
4K /60fps
5-Direction Obstacle Sensing
ActiveTrack can recognize and automatically follow people and objects like cars and boats...
Habar wana jamvi, Nimefungua ki studio cha kurusha Movies, hivyo nilikua nahitaji kununua Desktop mpya ila sina uzoefu nazo
Nahitaji mwenye kufahamu anipe ABC zake yaani niangalie nini na nini...
Habari wadau,
Karibu ujipatie internet mifi za airtel kwa shillingi elfu 50 tuu. inaunganisha zaidi ya watu 10 kwa umbali wa mita 100, na vifurushi vyake ni vizuri na speed ya uhakika karibuni...
Bajaji TVS inauzwa milioni 2.7, imetumika na bado iko kwenye hali nzuri.
Bajaji iko sinza, karibu kwa ukaguzi.
Piga namba 0688066177 kwa maelezo zaidi, ahsanteni.
Sisi ni wauzaji wa home decoration na home appliances,tunauza
Mashuka
Duvets
Vyombo vya aina mbalimbali
Pazia
Indoor shoes za jinsia zote hadi
watoto
GHARAMA ZETU NI NAFUU MNOOO...
Waungwana natumaini mko poa mko wengi wenye makampuni nimeamua ku-share hii kitu tupeane rizki/connection napokea contract za kuosha gari za aina yoyote especially truck, mabasi na gari nyengine...
Habari Wakuu,
Nimeona ni Vema ni share naye kama Watanzania wezangu Fursa hii Ambayo itakufanya Uingize kila Siku sh 50,000 kwa juhudi zako.
FURSA YENYEWE
Mimi Nashughulika na uchinjaji Wa...
Kutana na wataalamu wa kufanga mifumo ya umeme majumbani,ofisini na kumbi mbalimbali
kwa mifumo bora ya kisasa na salama.
Pia tunadesign mifumo ya mwanga wa dari (ceiling), makabati (Cabins)...
Wakuu habari za wakati huu
Ningependa kujua kati ya kampuni tajwa hapo juu, ni kampuni gani ambayo hutoa magodoro mazuri na yenye ubora, ambayo ukinunua hutajutia hela yako(Nikimaanisha sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.