Tunawaletea fryer nzuri na imara za gas pamoja na umeme
Fryer za gas zina kibiriti chake kwa ndani.
Zinapata moto haraka
Kila bakuli lina uwezo wa kuchukua lita 6
Bei: Double gas fryer...
KWA HAPA TANZANIA
Hakuna kitabu au documents yeyote ya kukuongoza wewe mgeni kufanya biashara ya KUNUNUA MADINI zaidi ya kitabu hiki cha MWONGOZO wa biashara ya kununua madini ni HAKUNA...
Wadau kuna liquid soap fulani wanatumia kwenye mahoteli makubwa ambazo wanazijaza kadiri zinapopungua. Kwa walioishi ulaya mtakuwa mnazijua maana kule ni kila hoteli zinapatikana. Swali naweza...
Nauza Kiwanja kilichopimwa Square miter 296
Jirani na Azam Factory Mwandege.
Kiwanja kipo katika mazingira tulivu umeme upo umbali wa mita 16 tu. Maji masafi unavuta kwa jirani mita 25 tu
Kiwanja...
REALWOOD LTD, ni watengenezaji na wauzaji wa milango aina ya mbao na vifaa vya milango.
Tunatengeneza milango ya mbao ngumu tunatumia mbao ya mkongo (Hardwood)na milango ya mbao ya kawaida...
Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
Wakuu habari za majukumu;
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa Nissani Patrol (chura) toleo la kuazia 1995 inahitajika, kwa yeyote anayeuza amesikia inauzwa mahali naomba aje pm au unaweza...
Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote...
Tunauza Mashine ndogo za kufulia mpya kabisa kutoka china. Zinafua, Kusuuza na Kukausha.
Brand Ni JF, Ni Imara sana na ikikusumbua ndani ya miezi mitatu tutakabadilishia mashine mpya kabisa...
Habari wakuu,
Ikiwa una nyumba yako na unajiuliza ni wapi utapata mapazia au Mabomba ya mapazia pamoja na installation (ufundi) basi leo umepata suluhu kwani sisi tunaweza kumaliza tatizo lako...
Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu!
Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika...
Jipatie nakala za vitabu vya riwaya pendwa za Kamanda Amata Sasa. Wahi katika sehemu hizi[emoji116]ukamate yako...
HARUFU YA KIFO
Tsh 12,000
MPATANISHI
Tsh 12,000
Dar es salaam
°Duka la Kona ya...
Habarini wakuu.
Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.