Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wandugu Karibu tukuhudumie. Tunatoa huduma za kubadili documents toka Swahili to English or English to Swahili. Pia tunafanya Grammar check, conversion to pdf from/Excel, word. Bei zetu ni...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
Ndugu zangu habarini,nimepata mashine ya kutengeneza popcorn nakarbisha support zenu Kwa tenda za harusi ukumbin. Pia hata MTU akiwa na connection na malls wanapocheza cheza watoto pia...
3 Reactions
2 Replies
483 Views
Ndugu zangu habarini, Nimepata mashine ya kutengeneza popcorn nakaribisha support zenu Kwa tenda za harusi ukumbin. Pia hata MTU akiwa na connection na malls wanapocheza cheza watoto pia...
1 Reactions
2 Replies
599 Views
TOSHIBA Used 2 months Dubai Clean 149 GB & 2 RAM 230k Piga au nitext hata whatsApp kwa 0627352709
1 Reactions
4 Replies
325 Views
Habari, Nahitajii mtu wa Marketing mwenye uzoefu wa kutafuta wanafunzi kwa ajili ya vyuo vikuu. Vyeti si muhimu, kama uko tayari nipigie tuongeee 0678650509. NB: Wakazi wa Dar tu.
3 Reactions
3 Replies
603 Views
Habarini mwaka ndo ushaanza hivyo, Ipo hivi unaweza ukawa unatafuta chumba au nyumba au hata kiwanja chenye specification flani unazotaka, lakini madalali watakuonyesha kitu tofauti kabisa...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Nahitaji kitanda cha foot 5 kwa foot 6 Mahali ni Dar (Ikiwezekana kesho itakua vizuri zaidi) Offer 100k Kwa mwenye nacho nipe taarifa kupitia. 0785 857564
1 Reactions
1 Replies
309 Views
Tupo kwaajili yako wewe mjasiriamali na mfanyabiashara katika kukusaidia nyanja mbalimbali ya kuipa thamani biashara yako. Je, Biashara yako yako inahitaji kutambulika kisheria? Je, Biashara yako...
1 Reactions
0 Replies
383 Views
HABARI, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Nauza migebuka kutoka kigoma kwa gharama ndogo tu ya shilingi elfu 2 mmoja mkubwa. Nakuletea mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar Es Salaam endapo utaanzia...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Napenda kuwatangazia kuwa kiwanja kinauzwa, Taarifa za kiwanja [emoji116] [emoji117] Mahala - Kata ya Mjimwema, wilaya ya Kigamboni, Dar es salaam. [emoji117] Ukubwa ni mita 60 ×mita 50...
1 Reactions
3 Replies
518 Views
Jamanieeee... Heshima zenu wakubwa! Maisha ya kupanga yamenichosha! Natamani sana ninunue kiwanja nianze ujenzi maana nikifikiria kodi ya nyumba + frame ya biashara nahisi kuchanganyikiwa tu...
1 Reactions
6 Replies
681 Views
Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Vifaa vya bomba (pipe fittings) vinauzwa. Bei= 65,000/= kwa vyote Mahali= Mbezi ya kimara Mawasiliano= 0765 150672 Size= 3/4 vyote
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF kwa yeyote mwenye gari tajwa hapo juu INAHITAJIKA kununuliwa. Offer ni 7m ikiwa katika hali nzuri.
0 Reactions
4 Replies
596 Views
Ninauza mabox ambayo hayana kitu, box lina upana wa nchi 11 na urefu wa nch 17.5 box lina kina cha inch 17. Ukiitaji kuanzi 70 unaletewa bule ukiwa Dar, kila box moja bei ni sh 1000. Unaweza kuja...
0 Reactions
3 Replies
516 Views
~ Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako ~ Mfumo wako wa petrol au diesel uliopo hauondolewi unabaki ~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu shilingi 22,500 unatembea kilomita 200...
18 Reactions
68 Replies
18K Views
Mambo vipi wana jukwaa mko poa, wazima nyote, nije kwenye shida yangu hii, nauliza naweza kupata mkopo wa kama sh laki moja bila riba, au kama riba ipo iwe nafuu kidogo, Kuna shida naitaji...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie ofisi ya wauzaji wa kamera wa uhakika waliopo Zanzibar. Mawasiliano yao au jina la account ya instagram itakuwa bora zaidi.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msichana anahitaji kuuza Duka la Nguo. Awe Mcheshi mwenye uwezo kushawishi Wateja,
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Mwenye picha za bikes kali used zinazouzwa tafadhali nahitaji moja na nipo Dar es Salaam. Kaka Pascal Mayalla please ni tag kwenye ule uzi wako wa bikes.
2 Reactions
1 Replies
661 Views
Back
Top Bottom