🔹Audio Card readers za watoto
-: Hizi unachomeka kadi yenye pande mbili kisha inatamka hilo neno la kiingereza na pia hutoa milio ya wanyama, ndege nk
-: Ina maneno zaidi ya 200 na inakaa na chaji...
Ofa ofa Ofa ofa Ofa ofa
Ngomemachine wanakuletea toleo jipya la mashine
ya kupukuchua mahindi kwa jina inaitwa kungula
Inapukuchua mahindi
Tani 2.5 ndani ya saa moja. hivyo ukipukuchua kwa
masaa...
Mashine ni used but works perfectly.
Other details
Name; canon
Model; selphy CP1000
Sheet size ; 148cm x 100cm
Printing duration; approximately 2min
Power; use ac adapter and powerbanks
Support...
Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha...
Jamani nahitaji eneo la gereji ambalo linapangishwa Dar es Salaam,
Sifa za eneo.
1. Liwe na fence na gate.
2. Likiwa na Ofisi itapendeza zaidi(Sipendelei sana iwe garage Bubu).
3. Sihitaji...
Habari ya leo ndugu zangu.
Ninauza mzani wa kupima uzito mwenyewe, kwa wahitaji wote kwenye maabara ndogo au wafanya diet.
Bei ni elfu 70,000/=
Napatikana Kahama, ila mkoa wowote nipo tayari...
Habari za leo waungwana? Nauza gari hii. Ni Carina AT 190 Manual. Gari inatembea vizuri kabisa na mimi ndiye mmiliki. Ina CC 1590, vibali vyote vipo. Inapatikana Busega (Nyashimo) Simiyu. Kilomita...
Jipatie CV (Wasifu) na Logo kwa bei nzuri.
CV (WASIFU) - Huandikwa kuonyesha uzoefu wa kazi, elimu, ujuzi, mafanikio yako ya kitaaluma, nia na malengo yako ya baadae.
LOGO - Logo husaidia katika...
Habari Jf .
Tumekuwa tukitoa huduma za uchimbaji wa visima, pampu za maji na bomba kwa muda mrefu sasa.
Huduma tumeboresha ili kuwafikia watu wengi zaidi.
Gharama za kufanya underground water...
Nauza bracelets kali na unique kwa bei ya jumla, bei ya dozen (12+) ni elfu moja na mia tano (1,500/=) kwa piece moja.
Wauza bracelets kama mpo interested nitafute kwa namba hii 0714-085617...
Habari wadau,
Nahitaji fundi wa plumbing akuje kunifanyia tathimini kwenye kanyumba kangu. Ila awe anaishi Runzewe - Geita au Nyakanazi, Biharamulo.
Asanteni
OFFA!!
Dar electronics wanakuletea mashine za Canon selphy CP 760.
Mashine ni used but works perfectly.
Other details
Name; canon
Model; selphy CP760
Sheet size ; 148cm x 100cm
Printing...
Wakuu amani na iwe kwenu.
Naomba kupewa connection ya gari la kukodi mbeya kwa siku mbili au zaidi kwa mizunguko ya hapo mjini. Pia kuna uwezekano wa kufanya safari za nje ya mji kidogo. Gari...
Habari zenu wakuu, naombeni msaada, nataka kuuza hizi hereni na pete ni vya gold ila sijui chochote kuhusiana na bei naogopa nisije pata mteja nikataja bei kubwa nikachekwa au nikataja ndogo...
SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA
Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.