Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi...
Habari wadau.
Mali tajwa hapo juu zinauzwa. Bado zipo katika hali ya upya maana zimetumika mara moja tu na baada ya mradi kukamilika hazihitajiki tena hivyo nataka kubadilisha walau nirudishe...
Wakuu nafaulisha chumba kipo Toangoma karibu na Mbagala kituo Stanley.
Nimepata kazi Mbezi sasa inabidi nihamie huko kutokana na umbali, kodi ni 25k utanirudishia miezi miwili iliyobaki, namba...
Nyumba ipo Goba kwa Robert,
* Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu.
*Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake .
*Ina Spanish tiles.
*madirisha ni pvc
*ina fence
*ina vyoo (toilets) 5 ...
Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu?
Usiogope, kwa maana...
Wakuu naona mnahangaika na huduma za vifurushi mimi ni DIRECT SALES AGENT toka tigo. Kuna huduma nimekuwa nikiwapatia wateja wetu Muda mrefu leo acha niwapatie wadau humu mwenye uhitaji ili...
Habar wakuu?
Ninauza na Kusupply spare za generator , Air compressor and Earth moving machine.
Upande wa generator nna spare za
1. Perkins engine
2. Yanmar engjne
3. Deutz Enigine
4. Mitsubish...
Habari za wakti huu;
Je Biashara yako inahitaji TOVUTI?
Je Biashara yako inahitaji mfumo wa Utunzaji wa kumbukumbu na uhasibu?
Je Biashara ya inahitaji mfumo wa kutoa risiti za EFD?
Je Biashara...
Ni wauzaji wa Vipuri vya pikipiki kwa aina zote, Zikiwemo Pikipiki za
1) Boxer Bm150,
2) BMX125
3) BMX150,
4) BM125HD,
5) BAJAJ 100
Pia Tunazo Spare Za Kichina kama...
Habari wote,
Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems).
Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na...
Nilinunua 150,000
Kwa sasa sina kazi nayo zipo 2 unaweza kuongea hadi km 15 hadi 20km
Kwa sasa sina kazi nayo nauza bei ya hasara 100,000 zipo banana
0743257669
Kwa msiojua unaweza kuongea na mtu...
Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima
utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya...
Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu?
Usiogope, kwa maana...
Hii ya kwenu wenye taasisi, kampuni changa na ndogo, NGOs, Churches, private schools and colleges, ..
Natoa huduma katika eneo la "Strategy consulting" ili kubaini maeneo muhimu ya kufanyia kazi...
Natafuta kanyumba au upande wa nyumba unaojitegemea kwa ajili ya kupanga kwa mwezi 1 hadi 3 kwa mgeni anaekuja Dar kwa muda mfupi, chumba, sebule, jiko, choo na bafu au chumba kinachojitegemea na...
Ney Ubuyu wa Kishua
Unaanzaje kupitwa na kiburudisho hichi kizuri
Ubuyu mzuri wenye ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili
Jumla na Rejareja unapata
Kisado 20,000 Ndoo ndogo 40,000 Ndoo kubwa...
Kampuni: Honor LED
Watts 3 - 10,000 PC 10
Watts 5 - 12,000 PC 10
Watts 7 - 13,000 PC 10
Watts 9 - 14,000 PC 10
Free Delivery piga : 0614502969
Dar na mikoani