wakubwa natafuta shamba ekari 10 bagamoyo. Liwe katika eneo tambarare na sehemu yenye rutuba inayofaa kwa kilimo. likiwa jirani na barabara ya msata bagamoyo ni nzuri zaidi. Ni sehemu yeyote...
Nyumba yangu nauza ipo mtaa wa kilimani mjini ni old house ina vyumba vya ndani na nje iko pembeni ya hospitali ya ALRAHMA hospital iko in very good condition ni ya chini serious buyer please...
Hallo,
Pata flash Original(Immation & SanDisk) zenye Movie na Cartoon 10 Maarufu za watoto Kama;-
1. Rio
2. Rango
3. Home alone
4. Alvin
5. Lion the King
6. Bolt etc etc
PRICE: 25,000/-
Ni...
Shamba linauzwa lipo maeneo ya Yombo Mpera mbele kidogo ya kiwanja cha Azam
Shamba Zuri lina ukumbwa wa heka 3
Lina Mabanda ya vyumba 2
Bei milln 13 maelewano yapo ...
Kwa mawasiliano piga 0787...
Kwa mahitaji yako ya jumla ni pm QUALITY SAFI KABISA MADE KWA KUZINGATIA HALI YA HEWa YA NCHI YETU BEI RAHISI KABISA COZ HATUNA DUKA TUNASAMBAZA DOOR TO DOOR JIPATE YAKO
Wadau nauza kuku wa nyama wenye uzito wa 1.5 na kuendele kwa sh 6000 napatikana morogoro naweza kutuma dar na dodoma tu. Napatikana kwa namba ya simu 0658428186 karibuni
Wakuu bidhaa tajwa hapo inauzwa ina speaker 2 mbili kubwa standing na speaker 3 ndogo..direct flash recorder, dvd player, full scale HD play, 350W
Kwa anayehitaji nitafute kwa 0713000076
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.