Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu kwema, Kiwanja cha hekari 10 kinauzwa Singida eneo la Mandewa karibu na hospitali ya rufaa, km 6 kutoka round about iliyo karibu na uwanja wa peoples,kila heka inauzwa milion 3, eneo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba mbili zenye vyumba vinne kimoja kikiwa ni master,jiko store,sitting room na dining room kwa kila nyumba moja, zina eneo la ukubwa wa squire meter 1000 kwa kila moja bei ni milioni 200kwa...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Kama kuna mtu anachaji original ya laptop MAC BOOK anniambie anauza sh ngp naitaka icwe mchna maana hii isha nifia plzz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu habari zenu.. nauza lumia 1320 ipo katoka hali nzuri. battery life ni almost 3 days hata kama umewatch series episode 12..kioo kiko protected na kioo kingine. Any offers? 0766400150 UPDATES...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
gari ipo powa haina shida yoyote waweza kuja kuiona..ipo dar es salaam mikocheni karibu na clouds.bima ni compresive,
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa keko Magurumbasi. Ipo mtaa wa magurumbasi B sh.milion 30. Dalali hatakiwi 0754 654410
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Kwa yeyote anayeuza home theatre, please ni PM tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
991 Views
Mwenye kusuppply hiyo product au kujua inapopatikana anijulishe 0784 652017
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wajumbe, Samahani wajumbe ila nlikua naomba msaada wa kujulishwa gunia moja la mchele na la maharage linauzwa shillingi ngapi maeneo ya sokoni Tandika. Ntashukuru taarifa
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wakuu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua ni wapi na weza kupata bidhaa zifuatazo kwa wingi naomba anielekeze na ninatanguliza shukruni. 1.Pumba za ngano kuanzia tan 30 2.Pumba za mpunga kuanzia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumba kubwa ya vyumba vinne,public toilet,sitting room na jiko pia ina nyumba ndogo kwa nyuma ya vyumba viwili kimoja ni master na store inauzwa iko tabata kimanga bei ni milioni 80 ina hati...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Shamba la ukubwa wa heka 50 linauzwa Korogwe halijawahi limwa wala katwa mtii. Ni eneo zuri kwa kilimo kwakuwa ardhi inarutuba,kwa mwenye uhitaji anitafutee kupitia nambaa hii 0716623022.bei ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanajanvi Ninadesign website na software mbalimbali, bei ni maelewano if u r interested contact me 0719381568
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Ninauza power banking jumla na reja reja na zina warrant ya miezi 12 pia zina uwezo wa kuchaji cm hadi nne kwa mara moja.ni power banking zenye nguvu ya ajaaabu. kwa atakae hitaji tuwasiliane...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ving'amuzi tajwa hapo juu navihitaji, viwe vizima bila tatizo lolote. Nipo dsm, nicheki 0714-408238.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa ajili ya biashara Kati ya hiace au Noah nipigie 0714064767 tuongee kwa ajili ya malipo yako ya uendeshaji WA biashara ya wanafunzi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe nzuri bajeti isizidi 6Mil..
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau habari za leo? Nahitaji kununua gold/dhahabu used au mpya ila iwe genuine (halisi) inaweza kuwa mkufu,pete,hereni nk.Lengo ni kupata gramu tisa au kumi. Kama una uza tafadhali njoo PM AU...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Kiko Goba mwisho Dar-es-salaam,ukubwa wake ni Sq meter 1800 + msingi wa ngumba kubwa, gari inafika na umeme upo jirani sana. Bei inaanzia 25mil maongezi yapo na kwa aliye serious ani pm tunaweza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom