Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nina airtime ya airtime ya airtel ya 40000 naomba tubadilishane na wa voda, chek me now
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Pata toshiba flash 8GB,, kwa Tsh 14000,, ukiwa daresalaam unaletewa mpaka ulipo... Kwa mawasiliano zaid 0762225102
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau nauza gariyangu Toyota Baloon chaser ni automatic,gx 90 Rangi nyeupe ikovizuri nainatembea.ni 6 cylinder, km8 inakula mafuta lita1. anaehitaji wahimapema nitafute maongezi yapo 0713377167
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanafunzi na walimu wa GEOGRAPHY (A - level) Jipatieni kitabu kipya cha Practical Geography kilichosheheni topics zote za Practical Geography: Statistics, Research, Chain, Compass, Plain Table...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wakuu kama hapo juu panavyojieleza kwa mwenye nazo anicheck kwa namba hii 0765 099627
0 Reactions
0 Replies
836 Views
IKO KATIKA HALI NZURI. HAINA TATIZO LOLOTE. NAUZA ILI NINUNUE Ipad air. UKIHITAJI NI-PM TUELEWANE BEI.
1 Reactions
3 Replies
973 Views
Aliyenazo anicheki kwa 0752718685
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninauza compressor ya upepo size ya kati ya lt 100. Compressor bado mpya haijatumika na ina vifaa vyake vyote kama inavyoonekana katika picha. Niliinunua 650,000 na ninaiuza 500,000 tu. Sababu ni...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa wale wenye matatizo na PC zao iwe hardware ma software waitaj au website,blogsport,computer repear,windows software installation computer networking cable iwe internet cafee au office nipigie...
0 Reactions
4 Replies
982 Views
eneoliko Mbagala charambe km1 kutoka barabara kuu.eneo zuri linafaa kwa biashara, makazi, yadi ya magari nk. bei milioni 120.maongezi yapo nitafute 0713377167
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Tuwasiliane hapa 0717369162 haraka kabla mmiliki hajagairi kuuza. ( sms zitajibiwa )
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nipo Dar nafanya biashara ya ununuzi wa vitunguu,mara nyingi huwa naenda Iringa kununua mzigo ila kama unavyo na hata kama upo mahali tofauti na Iringa ntavifuata.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nauza gari yangu DAF XF truck ya mwaka 2003 pamoja na tera aina ya uchanja (Super single), gari iko safari kupeleka mzigo Kahama na iko poa sana. Vehicle Details: Make: DAF XF Model number...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ninahitaji kununua gari dogi la kutembelea,nina milioni nne,mwenye taarifa aniPM.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe barabarani kwenye mzunguko wa watu, Dsm, mwenye nayo anipigie kwa 0766589444
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Habari zenu wanajamii forum? Nimejikuta na hamasa ya kufanya biashara ya vinyago lakini nisingependa kuvinunulia pale mwenge ningependa kuvifuata huko vinapochongwa.kwa yeyote anayefahamu sehemu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama upo tayari nicheki 0713992681
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fursa ya kuwa mmiliki wa kampuni yenye kusambaza bidhaa za hewani za high tech pamoja na kupata kipato cha mtandao ipo hewani. Utapata hisa 10 baada ya kukamilisha mchakato wa kujiunga na utapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu poleni sana, I will be Back naona kuna kitu hakipo sawa!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Network with a global high tech distribution company and get opportunity to earn both company shares and affiliate income You will earn 10 shares after finishing the joining process and...
1 Reactions
1 Replies
766 Views
Back
Top Bottom