Natafuta chumba self container,pamoja na sebule,kiwe kwenye nyumba ya kisasa,kiwe na madirisha ya aluminium,dari ya gypsum,na kiwe na tiles,maeneo iwe ni kikuyu,area e,nkuhungu,area d,nyumba...
mwenye kuweza kunisupply power supply inayowasha display ya lexmark x854
au kunielekeza wapi nawezakupata nitashukuru.
Mafindi kibao wamecheza nayo bila msaada bawa pekee ni kupata spare yake...
sifa za kiwanja:kinatazama barabara ya shapria inayoelekea veta.
kipo mita 100 kutoka katika kibao cha chuno sekondari.
:Ni medium density (kimepimwa)...
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja ni master room, dinning room, seating room, jiko na baraza. Nyumba ni mpya ila bado ujenzi haujakamirika. Imeshapigwa bati ( za rangi ya blue)...
Huenda jina nikawa nimelikosea,wakuu naomba msaada wa kupata peni ambayo inauwezo wa kurekodi matukio yaani inakamera na inachukua tukio hata mita mia,zinapatikana wapi na kwa bei gani?
iPhone 5 inauzwa. Capacity 16 GB nyeusi. Ni kama mpya imetumika miezi 6 tu UK. Warranty ya miezi 3 ipo bei ni 800,000/- tsh. Ina pods zake na charger! Nipigie kwa 0717771515 au PM.
Ndugu wanaJF, kuna kiwanja kizuri sana kwa aajili ujenzi wa Kituo cha Mafuta, kinapatikana katika Manispaa ya DODOMA. Kina ukubwa wa Ekari Tatu kipo barabarani kwenye barabara mpya ya...
Refer to the above heading
Natafuta Tripod nzuri kwaajili ya kazi tajwa hapo juu, Kama umetumia plz advice me nitafute ya aina gani na of which reasonable height.
Am using Nikon d3200
sorry for...
Habari wadau,
Natafuta nyumba ya kupanga bagamoyo mjini maeneo ya sanaa au jiran na hapo,natafua nyumba yenye chumba kimoja,siting room na choo cha kujitegema dau langu ni kati ya 100000 na 120000...
Habari wana JF.
Mimi ni mwal. kwa taaluma yangu na nimeanza kazi mwaka jana wilayani mbinga, kutokana na ukweli kwamba swala la mishahara midogo katika kada yetu imekuwa ni kilio cha muda mrefu...
Habari wana JF.
kwa anayehitaji fremu za bei nafuu za biashara maeneo ya Buyuni CCM (Kwenye Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni) tuwasiliane kwa namba 0657621427. Fremu ziko sehemu nzuri kwa biashara...
TOYOTA RAV4 FOR SALE;
SPECIFICATIONS:
YEAR: 2007
MILLAGE:90,000
MODEL: ACA30R-AWPGKW
LOCATION: ARUSHA-NJIRO
TRANSMISSION: AUTOMATIC
With comprehensive insurance till December 2014
FOR MORE...
Wana JF,
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha maeneo ya Njiro. Vyumba viwili au vitatu (kimoja kiwe self-contained), sebule, jiko na bafu/choo. Budget Tshs 250,000/= kwa mwezi. Kama una information...
HP envy 3 month used for sale
In VERY good condition
2cm thick
4hrs battery life
HDD 500gb
4gb Ram
X64 based processor
Core i5 CPU@1.70ghz
speakers:beats by dRe
Graphics: AMD radeon HD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.