Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
VOCHA NI TSH 6000 TU KWA MWEZI NA SI VINGINEVYO MWAMBIE NA MWENZIO HATUA CHACHE HIZI HAPA 1.Hakikisha una laptop au desktop kisha install java7 au 8 ila nzuri ni java 8 kama hujui jinsi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mahitaji yako ya blog kwa bei poa kabis ya sh 200000 wasiliana nami kupitia whatsapp kwa namba 0659505081
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa tigopesa imesajiliwa dar es salaam kwa anayehitaji nipigie simu 0654404707.Bei in tshs.550,000/= ila maongezi yapo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Laki tatu na nusu pungufu tutaongea. Line ya Airtel money inauzwa. Piga 0714 045 080.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana sana nakukupa cd ya window8 2014 septembar na pin zake yoyote anae hitaji
0 Reactions
99 Replies
7K Views
Naomba wadau mnisaidie kwa mwenye kujua upatikanaji wa nyumba ya kuishi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aje Aje wazee wa bizna? »Nahitaji spare tyre vile vidogo venye rangi ya njano kama unayo weka bei au ni PM tufanye biashara napatikana dsm na arusha tu »Pili Samsung Gallaxy Grand Duos...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza blog inamuda zaidi ya miaka 3 contacts:0753312695
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Nahitaji laptop iwe sifa zifuatazo Iwe hp nyeusi Ram 2gb Hard disk 320 Iwe inakaa na chaji hata kwa lisaa limoja Bei iwe 240000 Ni pm for offers 0765464630
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Hello, naomba kwa yeyote mwenye idea ya zinapopatikana POWER BANKS, hapo Dsm. Sihitaji nyingi sana. Mimi huwa naagiza China na kusupply madukani na kwa wadau wengine, sasa mzigo wetu (KIMI DEV...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
inauzwa nokia n8 kwa sh150000 nipo mwanza ncheki kupitia0764339400
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Jamaa msaada wa vitabu hivyo mwenye navyo, copy yeyote ila Hardcopy itakua bora zaidi. Shetani Msalabani na Matigari. Mwenye nacho naomba aeke namba yake iwe rahisi kumfikia au atumie yangu 0712...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pata samsung s3 kwa bei ya sh. 420,000/= tu. Simu ndo zinaingia leo but izo za ofa ni simu 10 tu ndo kwa 420,000 nyingine bei zetu ni 460,000 tu. specifications. screen size 4.8 Ram 1 GB...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna heka 20 za ukweli zinauzwa Mwanzomgumu,kunafaa kuchimba kisima na pia kuna mradi wa bomba la maji unaendelea.Kuna nyumba ya bati,ni umbali wa 30 toka Chanika mjini.Bei ni za maelewano,Kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CHUO kinawatangazia nafasi za Diploma in Clinical officer na certificate take.Diploma in Pharmaceutical Sciences na certificate.Kuna nafasi za JIONI kwa kozi zote.Kwa maelezo zaidi pig a 0769566282
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tab tajwa hapo juu inauzwa na inasapot matumiz ya kawaida ya line kama kupiga na msg na itatumia application zote. Bei ni kuanzia laki 4 na maelewano yanakaribishwa. Haina tatizo lolote Ili kujua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani niko na duka la vyakula na matumizi mengine ya nyumbani, nahitaji mtu wa kuwa naye share, maana nina kazi nyingi sana hivo siwezi kuwa dukani Muda wote, duka lina mtaji wa 4. 5 million...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ok naona watu wengi wanalalamika kuhusubei..........! Nakuhakikishieni kwamba kwa bei hiyo hautakuja jutia kwa hapa Arusha na sehemu yenyewe, najua hii barabara ya EAC na mambo mengine yatayojiri...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu,tafadhali nahitaji mitungi ya nje(ciss) ya epson S22.
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Nahitaji kusafirisha pikipiki yangu mpya kwenda Tabora kwa bei nafuu. Msaada wanajamii forum, nahitaji mawazo yenu au kama kuna kampuni inahusika na usafirishaji mizigo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom