Habarini za kutwa!
Kuku kutoka dodoma, kama unahitaji kuku wapo kwa bei hiyo mimi siuzi kama unahitaji tuwasiliana mimi nitakuwa agent wako nitakae kuwa nakununulia kisha nakutumia halafu...
1) Kiwanja chenye square metre 900, sifa zake ni kama ifatavyo.....
Kiko umbali 0.5 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe.
kiko mita 50 kutoka barabara ndogo za mtaa.
Umeme...
kusupply madukani na kwa wadau wengine, sasa mzigo wetu (KIMI DEV. CONSULT LTD) umechelewa na sitaki kumpoteza mteja wangu fulani mwenye uhitaji wa haraka.
Kwa anaye fahamu au yeye ndo muuzaji...
Wakuu nna elfu 70 nataka simu ya android yoyote ambayo itakua na uwezo wa kusupport WhatsApp,Instagram,Viber n.k Bila wasiwasi wowote.. kama unayo njoo tuongee biashara. Nipo Dar
Wadau nina NADIA nauza 5.8ML
Nataka kununua Virtz au kama nikiparta mtu mwenye Virtz anayehtaji Gari kubwa pia naweza elewana naye;
kama unavyoiona kwenye Picha iko kwenye hali nzuri tu.
Hi,
Kama kuna anayetafuta huduma bora za WEBSITE HOSTING & DESIGN tuwasiliane;
Kwa Tsh. 80,000/= tu kwa mwaka unapata website ya jina upendalo mfano. (www.myname.co.tz/www.myname.com)
Kwa wenye...
Nyumba ya kupanga inatafutwa singida mjini maeneo ya sabasaba
iwe na vyumba vitatu au viwili vya kulala,sitting room,jiko na choo
mwenye nayo karibu PM au tuwasiliane kwa
0714358610
suruhisho la matatizo ya ngozi kama makovu, mabaka nk tunazo creme na scrub tunazoziamini na zina guarantee na kuna watu wameshatumia kwa matokeo mazuri! usione aibu rudisha confidence yako kwa...
Nataka niwe nauza kuku wa kienyeji natoa mikoani napeleka Dar es Salaam.
Sasa cjajua mikoa gani iliyo karibu naweza kupata hawa kuku na kwa bei gani. Nataka kuanza na kuku kama 200 hivi.
kwa...
Habari za muda wakuu, natafuta simu za kizamani za nokia au sony ericsson kama nokia n86 zenye camera yenye megapixel 8 au zaidi hata isipokua smartphone iwe na uwezo huo wa camera. Mwenye nayo...
Tunalo surulisho la tatizo lako la ngozi na tatizo litakwisha kabisa ndani ya siku 28 na kurudisha confidence yako kwa kuwa mrembo na mtanashati! Wasiliana nasi whats app 0764014285
Now you can unlock Huawei ascend y300 easily
step 1. place order here ..::Kariakoo Online Fundi Simu System::..
step 2. send 20,000/= via tigo pesa or m-pesa to 0715353108 or 0756144060
step 3...
Wadau wa jf hasa wa mji kasoro bahari....simu ya samsung s4 original inauzwa imetumika kwa miez mitatu tu. Kwa anayehitaji anitafute kwa 0764 503 076. Bei inaanzia 620,000 ila maelewano yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.