Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mimi ni mjasiriamali ambae nina Incubator ambayo kwa wastani inafyatua vifaranga vya kuku elf 12,600 kwa siku 21, mashine hii inauwezo pia wa kutotoa mayai ya bata mzinga. Nahitaji kujua ni wapi...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
mwenye aina hiyo ya pikipiki iliyotumika tuwasiliane
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wadau! Asali mbichi ni miongoni mwa suluhisho rahisi sana la kuondoa kitambi kwa wale wenye vitambi wasivyovihitaji. Chemsha maji kisha yamimine kwenye glass yenye unga wa mdalasini kiasi...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Hey wanaJF nauza Mchele na Mpunga, napatikana Morogoro. Kwa gunia moja nauza 65000/= ambapo ukikoboa unapata sio pungufu ya kilo 62-65 kg. so let's do business
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yeyote anayefahamu wapi naweza kutengeneza full website with domain name anijulishe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF? Hope mko poa kabisa. Nauza digital camera aina ya Olympus, 16MP, X5 zoom na. picha zake ndio hizo hapo chini. Ni brand New kabisa nimeletewa from UK.sijaitumia. Nauza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauzwa Fekon nyingine kwa shillingi 750,000/=. wahi now: contact: 0658455120
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Plot inauzwa yenye ukubwa 25x 30 iko Tabata Kisukuru,limepandwa migomba bei ni milioni 22 mawasiliano zaidi piga 0714358610
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haina tatizo lolote, engen bado nzima, inatakiwa 6mln inawafaa wale wabeba mizigo. Karibuni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba ipo majengo sanya juu ina vyumba7.kwa anaehitaj 0759292980, picha ntaweka hapa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TUNA "DESIGN" NYUMBA ZA AINA ZOTE..GHOROFA NA ZA KAWAIDA....PIA HUDUMA YA USIMAMIZI NA UJENZI IPO. PATA RAMANI KWA BEI NAFUU: NYUMBA YA KAWAIDA - 300,000/=...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapi naweza kupata printer za Epson Photosmart jijini Mwanza
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Ukihitaji wax original nitafute usiogope napatikana Dar es salaam, utaletewa popote... dot 1, sh.45000... Pia kuna vitenge vya hitaget dot 1,sh. 40,000 unakaribishwa sana.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa chenye ukubwa wa ekari 4 (squire meter 16690) kiko kunduchi beach ufukweni kabisa kimepimwa na kina hati pia kiko ndani ya fensi bei ni $1.8 mil. mawasiliano zaidi piga no. 0714358610
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kiwanja chenye ukubwa wa squire meter 500 kinauzwa kiko tabata mawenzi kimepimwa na kina hati bei ni shilingi milioni 60 mawasiliano zaidi piga 0714358610
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar zenu wadau. ninahitaji laptop used inayouzwa kwa alie kuepo Zanzibar. iwe na sifa angalau zifuatazo. RAM isipungue 2GB, Hard disk isipungue 320GB. alienayo naomba tuwasiliane.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa karibu na chuo cha mipango dom, 3M
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayeitaji lami ya barabara tafadhali wasiliana nasi kwa namba +255713251003
0 Reactions
0 Replies
968 Views
1:Toyota Raum new model , light blue 2:Manufactured 2003 3:Arrived in dar-es-salaam 22August 2014 4:Auto door,AC 5:Millege 75000 km 6:Comprehensive insurance. Bei ni M11 negotiable . . ...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Back
Top Bottom