Used kwa miezi mi5..
Inakubali application za android kama inavoonyesha hapo kwenye picha ya kwanza.
Features:-
Ram 2GB
Internal Memory 16GB
Back Camera 8mp
Front camera 2mp
Screen size 4.2...
Habari
Wanajukwaa nilikuwa nahitaji mtaalamu wa ku designe template kwa ajiri ya BLOG yangu ambapo kuna aina moja ya muudo au template inatumika katika Blog moja ninaipenda sana.
Kama wewe ni...
Nauza nokia xl iko in excellent condition with all its accessories
screen size of 5'inches with 3g network, dual sim, cpu of 1ghz ,and ram of 768mb
camera of 5mp & 2mp respectively
iko compatible...
Nyumba inapangishwa ni mpya iko Tabata Kimanga inavyumba viwili kimoja ni master,public toilet,jiko car parcking ya kutosha,maji masaa yote luku ya kwako
bei ni 450000/=kwa mwezi
mawasiliano...
jamani naomba msaada kwa anayefahanu namba za madalali Musoma mini au kama kuna Dalali hapa jamvini anitafute kupitia namba 0759501127 ili nimpe kazi ya kuuza Nyumba ya kisasa.
Hi,
May you please help me I need the following contacts phone numbers or email:
1) 1. Yutong Bus Parts Importers and sellers in Dar Es Salaam
2) 2. Sai Baba Express Workshop Phone...
Ndugu nahitaj simu(smart phone) used kwa tsh.80,000/=. Nipo Mwanza. Iwe haijawahi kupelekwa kwa fundi.
Wajuzi wa simu hizi mnaweza kuniongoza juu ya ipi nzuri lau kwa kasungura hako.
Habarini wapendwa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Ninahitaji line tajwa hapo juu kwa gharama ya Tsh 250,000 inayo-operate mkoani Dodoma.
Shukran.
Liko makoka karibu na shule ya msingi.lina uwezo wa kuwa na vyumba 3 ijapokuwa halijakatwa vyumba ndani,lilikuwa linatumika kama darasa la nursery school.liko kwenye kiwanja chenye eneo la ziada...
1:Toyota Raum new model , light blue
2:Manufactured 2003
3:Arrived in dar-es-salaam 22August 2014
4:Auto door,AC
5:Millege 75000 km
6:Comprehensive insurance.
Bei ni M11 negotiable . . ...
Nyumba ya vyumba vitatu kimoja kikiwa ni master,dinning,siting room,jiko na public toilet inauzwa iko kitunda bei ni milioni 150 mawasiliano zaidi piga 0714358610
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.