Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Tuagize epson px 660 used ama aina nyingine tukuletee,ni pm kwa maelezo zaidi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Product: Acoustic guitar & BAG Types of strings: Steel Price: 100,000/= contacts: 0716133432 napatikana Dar, Survey (karibu Mlimani City kuelekea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WE DO PROVIDE SECURITY SERVICES: 1. At a cheaper rate. 2. Free maintenance. 3. 2 Years warrant. mob: 0712 777748 0712 435316
0 Reactions
0 Replies
637 Views
WE DO PROVIDE SECURITY SERVICES: 1. At a cheaper rate. 2. Free maintenance. 3. 2 Years warrant. mob: 0712 777748 0712 435316
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Habari wakuu Nauza kiwanja changu kilicho pimwa,kwasasa nafuatilia hati ila offer ipo tayari.Bei yake ni sawa na bure kulingana na eneo kilipo na ukubwa wake Kilipo: Kiwanja kipo barabarani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wana JF natafuta kiwanja hapa Dar es Salaam, bajeti yangu ni Millioni 2, mwenye nacho tafadhali atiririke hapa akisema location, ukubwa wa kiwanja na miundombinu ktk maeneo husika. Asanteni!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Pata samsung s3 kwa bei ya sh. 420,000/= tu. Simu ndo zinaingia leo but izo za ofa ni simu 10 tu ndo kwa 420,000 nyingine bei zetu ni 460,000 tu. specifications. screen size 4.8 Ram 1 GB...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Kuna chumba na sebule jiko pamoja na choo chake maeneo ya savei dakika 5 kwa mguu tokea mlimani city. Bei ni shilingi 150,000/= inaitajika kodi ya mwaka. Maji yapo 24/7. Hakuna malipo ya dalali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nipo kimara, kwa anaeuza anipm
0 Reactions
1 Replies
680 Views
I need an office desk and chair,new or used but in reasonable condition will do. Please anyone selling these things please contact me in PM or here.
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Kama ungependa kuwa wakala wa benki, tuwasiliane kwa namba 0754-730813 Vitu vya kuzingatia 1. Soma Page number 5 na 6 kwenye hii guideline ya BOT kujua kama umekindi vigezo vya kuwa agent...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana JF, natafuta MacBook Air 13'. Bajet yangu ni 900,000. Ikikosekana basi hata MacBook Pro tunaweza kuongea.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dell latitude d620. processor: 1.83GHz RAM: 1.00gb hard disc: 60gb ... bei: tsh.200,000/
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wakuu nataka modem universal au hata ya vodacom inayochakachurika , nahitaji sana , nipo ubungo dar , offer yangu 20 tsh mpaka 15 tsh contacts: 0716282670 0759146483 Kabla ya kesho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada kwa anaejua bei ya simu tajwa mpya kutoka shop.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nataka kuchukua cement mifuko 80 kwa bei ya kiwandani hasa kiwanda cha Vikindu ,kwa anayeweza kunisaidia jamani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jaman mm n mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ifm pale sasa natokea mkoani na hostel nahisi kukosa sasa kwa anaejua vyumba vilivyopo makumbusho na bei kwa mwezi anitajie na aache no yake hapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Did you know? Just as motor vehicles need services, laptops need them too. The interior part is usually covered with thin dust, which can block the air ventilations and the fan, causing your...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Mimi naishi hapa Dar..Nina Desktop Computer zangu nane, natamani sana kuanzisha Training Centre ingawaje mimi sitakuwa nafundisha..Natafuta mtu ambaye tutashirikiana katika mtaji huo, yeye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
natafuta mtungi mtupuu wa gesi wa oryx wa kilo/lita 30 mwenye nao ani pm hata used pia usiovuja nitanunua
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Back
Top Bottom