Welcome everybody! Tupo kukusaidia kukuza Biashara yako.Karibu upate huduma zetu kwa mafanikio bora zaidi.
Tuwasiliane kwa huduma popote ulipo.
QBS LTD.
For reliable solutions to your business.
Mimi ni mwajiriwa wa serikali,nna mwaka 1 na miezi nane kazini,natafuta sehemu ya kukopa yenye riba nafuu,maana nimeenda bank ya NMB unakopitia mshahara wangu,wananiambia mpaka niwe barua ya...
Habari zenu jf,natafuta trailer la kukodi liwe na hadhi nzuri na sixty five iwepo. Liwe tayari kwa safari
Malipo kwa mwezi nitamlipa
Simu namba +255 753 030 220 aliyekuwa tayari.
Greetings,
23 surveyed plots on sale for a reasonable price.
They vary in sizes ranging from 500 sq.mtr -3000 sq.mtrs
the price pr sq. Metre is 7500 negotiable. Distance is 4km from main road...
Waungwana nataka kuanza ujasiriamali kwa kufungua duka la nguo. Kwakuwa mtaji wangu si mkubwa kuniwezesha kufuata mzigo nje ya nchi naomba kama kuna watu wanaagiza mzigo toka nje na kuuza kwa bei...
Habari zenyu wakuu, Nauza desktop Dell GX270 PENTIUM4(PICHANI) Hard disk 40GB, processor 2.8GHZ, Ram 512MB, DVD room. nauza pamoja na kila kitu chake (monitor ya chogo) bei ni 160K. Haina tatizo...
Kwa mwenye uhitaji wa kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na kufuga awasiliane na mimi nauza wa umri tofautitofauti kwa bei nafuu na ya kuridhisha kabisa,
karibu tufanye biashara,pia ukihitaji...
Nyumba iko salasala Rtd ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master jiko stoo kubwa bafu na toilet za kushare kwa vyumba viwili living room kubwa haijamalizika kama inavyoonekana.200ml call...
Habari wana JF. Ninasambaza mahindi na mchele toka mikoani yenye quality standard nzuri. Pia vyakula vingine nina supply pia kulingana na mahitaji ya wateje.
Kwa mahitaji piga simu namba...
Habarini za kwenu wadau? Nimatumaini mu bukheri wa afya. Sasa ngoja kwenye topic. Nikwamba wadau wangu wa jukwaa naomba msaada wenu. My huawei y 330 imepasuka display yake baada ya kudondoka...
Pata GG JEWEL Lipstick kwa punguzo la 50%.. Jiunge na Oriflame mwezi huu upate lipstick ya sh. 26,000/= kwa bei ya sh.10,000/=..Kujiunga ni sh.9,000/= kwa maelezo zaidi tutafutane 0757165003
Ok naona watu wengi wanalalamika kuhusubei..........! Nakuhakikishieni kwamba kwa bei hiyo hautakuja jutia kwa hapa Arusha na sehemu yenyewe, najua hii barabara ya EAC na mambo mengine yatayojiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.