Habari zenu wadau wa JF?
Kuna kijana amefika ofisini kwangu na anatafuta kazi yeyote.
SIFA ZAKE:
Jinsi yake ni Mwanaume,umri miaka 22,elimu kidato cha nne,Uzoefu katika kazi za hoteli kama...
kiwanja chenye ukubwa wa squire meter 1750 kinauzwa kipo kinyerezi,kina banda la kuishi lenye vyumba viwili bei ni milioni 85
mawasiliano zaidi piga 0714358610
Habari wandugu,
Inahitajika Pointer kwa ajili ya projectors..zinakuaga za laser beam..kwa ajili ya presentation,
kama unafahamu hata duka zinapopatikana ..ntashukuru ukinifahamisha..
0763850934...
HP 500B MT Desktop PC
SPECIFICATIONS
- Processor: Intel Core 2 Duo (3.0Ghz, 3MB)
- RAM: 2GB
- Hard Disk: 320GB
- Monitor: Dell 19″ HD Monitor
- DVD Drive: DVD±RW (±R DL) yenye uwezo wa...
Ndugu zanguni.
Kwa niaba ya taasisi yetu ya umma; tunahitaji kampuni au mtu binafsi kwa ajili ya kutengenezewa Dynamic Website.
Kwa kifupi:
Website hiyo inakuwa inahabarisha umma na wadau wetu...
kuna mtu niliongea nae pm kuhusu habari ya mafriji tukapeana namba sasa akanitext nakunitumia namba na kunionesha sample katika wasap sasa
SINA NAMBA YAKE NA SIMU NILIPOTEa na SIKUMBUKI ID YAKE...
Mimi nimetunga kitabu ambacho ninataka kuingia katika soko la kimaifa. Kitabu chenyewe ninapanga kiwe na kichwa "chimbuko la imani ".
Nimekitunga kwa Kiswahili hivyo ninatafuta editor na...
nyumba inauzwa yenye vyumba vitatu kimoja ni self contained,setting room,dining,kitchen,store na public toilet
ukubwa wa kiwanja ni squire meta 800
mwenye kuhitaji ani PM au piga 0714358610
Wadau wenye mapenzi na ufugaji nauza vifaranga wa kienyeji hybrid wengine wanawaita wa malawi weusi, pia wapo wale wa madoa doa kama kanga na wengine mchanganyiko.
Bei inategemea na umri wa...
Wana JF mtu yeyote ambae ana uza kiwanja au shamba karibia na chuo cha mipango Dodoma tafadhali tuwasiliane. Tafadhani nitumie private message
Thank you
aboy aged 23,looking for ajob as houseboy,shopkeer,housekeeping.trustworthy hardworking with exprience.also good on written&spoken english and kiswahili.conterct 0753638460 or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.