Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza shamba lenye ekari 21,lipo eneo la losinyai (custom) karibu na mirongo sehem magari yanachukulia mchanga, kila eka moja ni milion 1, shamba linauzwa lote haligawanywi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samsung galax S2 nauza kwa Tshs 270,000.00 Call 0713268616
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapi nitapata daktari wa Mbwa awe anampa dawa home?Maeneo ya tangibovu, salasala, Goba
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Habari wana JF, nahitaji kwa yeyote mwenye printer ya Hiti cs-320 au inayofanana nayo, au ni duka gani zinapatikana kwa hapa Dar? Nimeunganisha na picha kwa asiyeifahamu.
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Changing community perspective is our responsibility,telling culture story is our duty as well so please join us on Moving Tanzania project so that we can change the landscape of the media in...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Kama una decoder ya DSTV used ikiwa na Smart card yake naitafuta ya kununua N:B Uwe umeinunua kabla ya mwaka 2010 Na kama unazo decoder nyingine e.g Ting,Continental,Azam,zuku,startimes ya dish...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni heka 460.lokisale wilaya ya Monduli.63kms kutoka Arusha mjini..bei 1.5m kwa heka..unaweza kunipm kwa maelezo zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba pamoja na mazao yake liko Tarime.Lina ukubwa wa ekari 8 na liko karibu sana na mji.Bei yake ni maelewano sema mazao yake nakwambia mapema unatakiwa ujipange ila hayasumbui katika kuuza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Harrier 2002 Kilomter 166000 Imesajiliwa namba A Bei milioni 11.7 #0786242495 #0786242495
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji universal modem (Not Unlocked Ones) mpya kwa bei ya nafuu (budget sensitive. Niambie Ni aina gani na ni model gani?
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Wakuu na nauza line tajwa hapo juu, kwa anayehitaji anaweza kupiga namba 0752718685, nipo Mbeya!!
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Wataalam waliobobea katika kufunga security camera, na kuona kila kitu kinachoendelea sehemu yako ya kazi, dukani, ofisini, hotelini na n.k ukiwa popote duniani. Wanao mafundi waliobobea. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu nahitaji hiyo printer iwe used ama mpya na iwe nzima yenye hali nzuri
0 Reactions
2 Replies
1K Views
canon Ir 3170ci drum yake na bei yake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana teck. Nahitaji printer yenye uwezo wa kuprint cd . Mwenye nayo aweke picha na bei ya hyo printer tafadhali. NB Inawahusu wale walio serious na biashara tu.
1 Reactions
1 Replies
807 Views
Mwenye simu tajwa nipo moro
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Hello wadau nahama mji Free to air satellite dish+decorder yake Strong brand naiuzwa kwa 170,000/- tu nipo Uyole Mbeya,pia ile sofa bei 700000 7 seaters vyote vipo ktk hali nzuri...Check me on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naishi mbezi kibanda cha mkaa,nina mbwa jike natafuta dume la kukod kwa ajil ya kumpandikiza jike wang.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa,habari za majukumu.hope mnalisongesha life kama kawa. .Hii inamuhusu yoyote mwenye king'amuzi cha startimes ambaye anataka kukiuza anakaribishwa tufanye biashara.Bajeti yangu ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom