Habar wadau!
Naomben msaada wenu, kwa yeyote mwenye kujua jengo ambalo linapangisha ofisi kwa gharama nafuu..
Square meter 10 zinanitosha sana, au kana kuna mtu mwenye hitaj kama langu ambae...
Zipo nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya mlimani city. Nyumba ya kwanza ni ndogo ina chumba na sebule jiko pamoja na choo chake. Bei yake ni 150 000 kwa mwezi kodi ya mwaka inahitajika. Nyumba ya...
ukubwa- urefu square meter 62 na upana square meter 45.(miguu 50 kwa 25)
price: 8,500,000 tsh.
mahali: Mikwambe -kibada karibu na funcity......karibu kipo mahali pazuri tambarale huduma zote...
Kipo bunju a kinaukubwa wa square m 1661 milioni 90 watu wamesha jenga wanaishi vizuri tuuh umeme upo njia pana kufika kila nyumba zipo safi madalali hawaitajiki kabisa kwa mawasiliano unaweza...
Wakuu nahitaji kununua simu tajwa hapo juu, iwe ni orijino na mpya bajeti yangu ni laki 6 (Tshs.600,000/=). Mwenye nayo anipm namba yake tufanye biashara.
Eneo la hekari 5 linauzwa Dodoma mjini karibia na chuo cha mipango linafaa kwa ujenzi wa hosteli,shule au nyumba ya wageni huduma muhimu kama maji na umeme zinapatikana kuzunguka eneo hilo lina...
Are you tired of looking for ready to move-in tenants for your rooms, flats or houses? I might be able to help you.
With everyone feeling the effect of the economic downturn and my fellow...
Wakuu hembu mnijuze wapi pa kupata hivi vitu.
Nataka kupata Machine au vifaa vya kufanyia packing ya Asali.
Wenye uelewa wanijuze hapa,namna ya kuvipata na utaratibu mwingine.
Habari wakuu
Nauza kiwanja changu kilicho pimwa,kwasasa nafuatilia hati ila offer ipo tayari.Bei yake ni sawa na bure kulingana na eneo kilipo na ukubwa wake
Kilipo: Kiwanja kipo barabarani...
Vinahitajika vyumba viwili Iwe sebule na chumba cha kulala eneo la sinza karibu na chuo cha ustawi wa jamii.
Tafadhali matapeli watakuwa treated accordingly .
An opportunity extended to you by Datasoft Networks Datasoft Networks - Portal Home to use our dedicated servers can help you sense a first-hand experience of the remote computing power. You will...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.