Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Iwe na vyumba vya kulala viwili,sebule na kijiko.Iwe maeneo ya mkolani,nyegezi au buhongwa isiwe mbali kutoka barabara kuu(shinyanga road) isizidi 1.5m kwa mwaka,mwenye nayo anipm
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nyumba hii ipo Usagara centre bei inaanzia milioni kumi na 19 maelewano yapo tuwasiliane kwa 0788752672
0 Reactions
14 Replies
4K Views
CRESTA BEI NI 4. 5 NISSAN SUNNY BEI NI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ram 2gb, ssd 120 1.4mil
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Wadau nimeagizia gari toka Japan, naomba kwa mbaye alishapata huduma ya kutolewa gari lake bandarini vizuri na akapendezwa na huduma ya agent huyo anijuze ili nami niweze kumtumia.Naomba nisaidiwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za Kazi wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza, tunauza na kusupply material za ujenzi, kama: cement, nondo - 6mm - 32 mm, mbao (soft wood from iringa za size zote) gypsum boards & powder...
2 Reactions
39 Replies
10K Views
Habari gani wana jf?, ninashamba hekari 20 maeneo ya BIGWA wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani, shamba lipo katika sehemu nzuri karibu kabisa na kisima cha maji, pia shamba lina ardhi nzuri ambayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Gari aina ya Toyota Carina TI inauzwa Tshs 4,950,000 tu. Ina cc 1490, manual transmission for more details just call 0713 234224 Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Samsung galaxy S4 white original GT19505 used ipo kwenye hali nzuri ina charger na ear phone inauzwa 450.000tsh. Kama itakufaa nicheck kwenye namba 0716631317(unaweza kuni whatsapp)
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Dealers in Research Consultant Environment Management and Livelihood Facilitator call us 0754 660061, 0786 660061
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Piga 0714064767 nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Natafuta Nokia xl. Iwe mpya . mwenye nayo aseme
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa anaejua magodauni ya wahindi ambayo huuza mizigo kama nguo,viatu n.k Ambazo zimekaa mda mrefu. Asante.
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Home theatre aina ya samsung yenye speaker 5 pamoja na king'amzi cha startimes zinauzwa kwa bei nzuri....home theatre kwa tsh 400000 na king'amzi kwa tshs 60000 bei zinapungua .....kama unahitaji...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Kwa sh 260,000/- tu
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Habari za leo. Nina kampuni yangu ndogo ya kuchana mbao lakini tatizo ni soko la uhakika wa bidhaa yangu...miti inayopatikana ni teak, mvule, mwembe, msederea, mpopota. kwa mtu yeyote anayehitaji...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Napangisha nyumba ya vyumba vitatu kimoja master ubungo kibangu njia ya kwenda kwa mzee wa upako, pia ina tiles nyumba nzima na uzio. Umeme na maji yapo ya uhakika. Nyumba ipo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji pikipiki tajwa hapo juu ofa yangu 3 ml
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Size 15*25,kina mawe tripu kumi na mchanga tripu taut.Hati hakina ila unaweza shughulikia ukaipata maana survey ilishafanywa jiji ila hawajapima eneo husika ispokuwa kama una hela yako unawafuata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom