Nauza vifaranga wa kienyeji (hybrid)

Nauza vifaranga wa kienyeji (hybrid)

gloria jm

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
60
Reaction score
22
Wadau wenye mapenzi na ufugaji nauza vifaranga wa kienyeji hybrid wengine wanawaita wa malawi weusi, pia wapo wale wa madoa doa kama kanga na wengine mchanganyiko.
Bei inategemea na umri wa kifaranga wapo kuanzia siku tatu mpaka wiki nne.
Kwa maelezo zaidi nitumie ujumbe nitakupigia.
 
Siku tatu sh 1500
Wiki moja sh 2000
Wiki mbili sh 2500
Wiki tatu 3000
Wiki nne 4000
Napatikana morogoro popote ulipo nitakutumia.
 
Dada ntakutafta siku chache zijazo unipe hao wa sh4000.
Nategemea kuchukua wengi. Ntashukuru kama utanifanyia discount!
 
Huwa wanaanza kutaga wakiwa na umri wa miezi mitano yaani wiki ya 20
 

Attachments

  • 1400050556164.jpg
    1400050556164.jpg
    44.1 KB · Views: 596
  • 1400050614943.jpg
    1400050614943.jpg
    82.1 KB · Views: 588
  • 1400050647585.jpg
    1400050647585.jpg
    79.6 KB · Views: 580
  • 1400050698226.jpg
    1400050698226.jpg
    23.9 KB · Views: 570
Kwa mawasiliano waeza kunipigia.kutuma ujumbe au kuniwatsapp 0658428186 karibuni.
 
vipi kuhusu sifa za ubora wa vifaranga; ukuaji, ukubwa,ladha ya nyama, uzalishaji wa nyama wake ukoje
 
vipi kuhusu sifa za ubora wa vifaranga; ukuaji, ukubwa,ladha ya nyama, uzalishaji wa nyama wake ukoje

Vifaranga hukua haraka ila si kama broiler na wala si kama wa kienyeji wale wanaojitafutia wenyewe chakula. Hawa kuanzia miezi minne unaweza kula. Nyama yake iko kama ya wale wa kienyeji tuliowazoea.
 
Kifaranga hichi ni cha wiki 3
 

Attachments

  • 1400953665158.jpg
    1400953665158.jpg
    54 KB · Views: 339
Hawa wiki 2
 

Attachments

  • 1400953754343.jpg
    1400953754343.jpg
    56.8 KB · Views: 320
Na hawa siku 3
 

Attachments

  • 1400953829924.jpg
    1400953829924.jpg
    21.3 KB · Views: 305
Back
Top Bottom