Nauza vifaranga wa kienyeji (hybrid)

Nauza vifaranga wa kienyeji (hybrid)

Karibuni sana bado wapo wengi tu
 
Attachments

  • 1406579237205.jpg
    1406579237205.jpg
    77.6 KB · Views: 388
Siku tatu sh 1500
Wiki moja sh 2000
Wiki mbili sh 2500
Wiki tatu 3000
Wiki nne 4000
Napatikana morogoro popote ulipo nitakutumia.

Wiki nne 4000 si bora nikanunue wa miezi sita 7,000?
 
Nahitaji nunua incubator ya mayai 3000 ila nitakuwa naitumia kwa mayai 1000 tu ya kienyeji, je naweza pata mayai ya kienyeji toka kwako ambayo ni fertilized maana kwa sasa nimetoa 25 tu kati ya 96 mengine yote mabovu
 
Yes unaweza pata mayai kutoka kwangu ila kwa sasa yote yana order kuna kuku wataanza kutaga september kama bado utakua unahitaji tuwasiliane
 
weka namba yasimu hata usipokuwepo jf tunakupigia
 
Duh,miez sita 7,000,sehem gn wanauzw kwa bei hyo na me nkawachek
 
Gloria nitakutafuta ili nichukie angalau 50
 
Last edited by a moderator:
Gloria umenitamanisha sana kwani na mimi ndoto yangu ni kumiliki kuku walau 10000 wa kienyej/ chotara nimechukua no yako nitakusumbua sooon.
 
Gloria umenitamanisha sana kwani na mimi ndoto yangu ni kumiliki kuku walau 10000 wa kienyej/ chotara nimechukua no yako nitakusumbua sooon.

Karibu sana na ni wazo zuri kama unalo eneo la kutosha.
 
samahani dada, kwa waliomikoani utahakikisha vp wanapata vifaranga bila ya hitilafu yoyote?
na pia unatuma kwa njia gani? (mfano: nahitaji vifaranga 250 wa wiki nne)!
pia hawa vifaranga wa wiki4 wamepitia chanjo ngapi?

Hongera kwa ufugaji bora!
 
Back
Top Bottom