pH 7
Member
- Aug 10, 2014
- 89
- 35
Karibuni sana bado wapo wengi tu
Mkuu umezidi kunihamasisha, nipo kweye maandalizi ya banda mpaka tar 20/08/2014 nitaanza ufugaji rasmi.
Karibuni sana bado wapo wengi tu
samahani dada, kwa waliomikoani utahakikisha vp wanapata vifaranga bila ya hitilafu yoyote?
na pia unatuma kwa njia gani? (mfano: nahitaji vifaranga 250 wa wiki nne)!
pia hawa vifaranga wa wiki4 wamepitia chanjo ngapi?
Hongera kwa ufugaji bora!
Utapata ila kuanzia mwezi wa tisa ndio nitaanza rasmi kuuza mayai.
Nitauza sh 10000 kuanzia trei 10 chini ya hapo 12000 niko morogoro kwa dar natakutumia kwa bus yanafika salama bila hofu.
Nitauza sh 10000 kuanzia trei 10 chini ya hapo 12000 niko morogoro kwa dar natakutumia kwa bus yanafika salama bila hofu.
Trei za box naweka kwenye box na makapi ya mpunga.Duh... Ngoja nijikongoje ili nku2mie iyo pesa... Je unafungasha kwenye tray au box?