Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Mi ninafuga wa kienyeji Je unao wa kienyeji? Ili tuweze kuwasiliana
Wadau wenye mapenzi na ufugaji nauza vifaranga wa kienyeji hybrid wengine wanawaita wa malawi weusi, pia wapo wale wa madoa doa kama kanga na wengine mchanganyiko.
Bei inategemea na umri wa kifaranga wapo kuanzia siku tatu mpaka wiki nne.
Kwa maelezo zaidi nitumie ujumbe nitakupigia.
hao wa wiki nne wapeta chanjo zote? Nahitaji 1,000
unao?