heshima kwenu wadau.
appartment inapangishwa vituka near aiport( ikizu motel au kwa jimmy)
ni masterbedrum na sebule yake.
ipo ndani ya fensi na geti, ina umeme luku na maji) drilling)...
Shamba lipo makurunge pialipo karibu na barabara mpya ni tambalale unaweza kkununua ata ekari 1kwa laki 9 madalali awatakiwi unaweza wasiliana na na mama mwenye shamba moja kwa moja 0713613410
Simu tajwa hapo juu in nyeusi, nauza kwa being hiyo ili nilipe ada ya dogo. Tatizo lake no power on/off switch imelegea. Nimeweka nyaya 2 ili kuwasha na Kuzima, ukimpelekea fundi inawekewa turn...
wadau si mara ya kwanza nimenunua simu ktk jukwaa hili na sijapata kujilaumu,
mara hii tena najitokeza kutaka mwenye nokia lumia 720 au 625 aniuzie.
Mwenye nayo ani text ktk
0763802014.
Kampuni ya Young master Supplies & General Enterprises inayohusika na mambo ya IT iliyopo jijini Arusha inapenda kuwatangazia wananchi na wakazi wote wa jiji la Mwanza kuwa Mafundi na wataalamu wa...
Pengine unachangamoto ya kipato kisichotosheleza au unachangamoto ya kuwa na kipato endelevu pindi utakapo staafu kazi. Au unawaza kuanzisha biashara ambayo ungependa kuiona inajiendesha hata njee...
Habari,
Hii ni very powerfully power bank yenye uwezo wa kucharge iPad, Tablet, All types of mobile phones. Ina capacity ya 13000mAh na ikiwa fully charged utaitumia mpaka 10 days simu yako...
TV aina ya samsung inch 26 LED inauzwa ,pia TV aina ya LG inch 24 LCD inauzwa ,kama utahitaji na king'amzi cha startimes nitakuachia....bei ni poa sana tutaelewana kwa mawasiliano 0757413993
Habari,
Nauza ofisi ya Statinery pamoja na internet cafe iyopo Arusha, maeneo ya Kibaoni Ngaramtoni karibu na ATM ya NMB.
Ofisi ina vyumba viwili, kodi kwa mwezi ni Tsh 150,000/=, kimelipiwa hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.