Get the best website that is professionally designed at affordable price, we will organize for you online forms, online payment options with PayPal, MasterCard, visa card,Tigo pesa and M-pesa for...
Habari za Kazi wakuu.
Kama kichwa kinavyojieleza, tunauza na kusupply material za ujenzi, kama:
cement,
nondo - 6mm - 32 mm,
mbao (soft wood from iringa za size zote)
gypsum boards & powder...
Anahitajika Dalali wa nyumba. Nyumba iko dar mbezi beach Ina ghorofa 2. inafaa kwa ofisi. Ukifanikiwa kuleta mteja na Dili likakamilika utapata Chako. Kwa maelezo zaidi pm
Wapendwa,
nahitaji generator ndogo ya kutoa kama 100w ila isiwe 2stroke kwani zimeonesha kuwa mbovu na umeme wake sio stable.
Kama unayo unaweza kunipm na specification tukaweka plan
asante
UNAKARIBISHWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA KIBIASHARA
CITY CENTER POSTA
SIKU:- 15 AUGUST 2014
MUDA:- SAA 04:30 JION
UKUMBI:-GOLDEN JUBILEE TOWER
MERU HALL, 4TH FLOOR
(mtaa wa ohio...
Nahitaji ambaye anajua/anaweza kutengeneza website ambayo naweza kupload mp3,naweza kupload video bila kutegemea video player ya youtube,nikimaanisha siyo kudownload video kwanza youtube then...
SHAMBA la Ekari 4 linauzwa.
Lipo Miyuji mashariki mwa hospital ya St Gemma; limepimwa na lina hati; lipo karibu na barabara kuu, kuna availability ya maji na umeme.
Kwa watakaohitaji wasiliana...
Gari inauzwa first registratio ni 17/8/2010
make susuzi
Model Grand vitara
Model number j20A
Body type Station wagon
Colour green
Class light pasenger vehicle(less than 12)
Year of manufactute...
Gari ndogo ya kukodi inahitajika. Iwe katika hali nzuri. Itatumika kwa matumizi ya kawaida tu sio biashara kwa muda wa wiki mbili.
Ikiwa Toyota Vitz, Toyota Starlet au Toyota Passo itafaa zaidi...
Habari waungwana, kama kuna mtu wa wizara ya elimu hama ulishapitia kozi ya ualimu tafadhari, nina kjana wangu aliomba tunataka kujua wanatangaza majina ya waliochaguliwa mwezi gani? na mafunzo...
1) Kiwanja chenye square metre 900, sifa zake ni kama ifatavyo.....
Kiko umbali 0.5 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe.
kiko mita 50 kutoka barabara ndogo za mtaa.
Umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.