Iko Dar maeneo ya Ubungo...Barabara ya Ubungo Maziwa Opposite na New Hotel ya Moveck..Hapa Utakutana na vinyozi safi kabisa wako smart wenye ucheshi mwanzo mwisho..
Mdada atakayekufanyia Scrab'...
Basi mbili zinauzwa tsh 15m tu, moja lina tatizo ya clutch plate imeungua na lingine lina tatizo ya starter na gear cable tu, njoo na fundi wako akague, if ur interest just pm me.
Sent from my...
City college of Health and Allied Sciences wanakutangazia nafasi za masomo katika ngazi ya Diploma na Cheri.Kozi zinazotolewa ni za Famasi name Udaktari Msaidizi.Ada ni 1600000/= kwa day na...
Wakuu,
Gari aina ya Toyota Prado Inauzwa, iko kwenye hali nzuri muhitaji ani PM
bei ni Mil 27,
Mileage 207,862, gari natumia Petrol, ni Automatic, linatumia mafuta lita moja kwa kilometa 7...
Ni t better 150 kubwa imenunuliwa mwezi wa 5 mwaka huu haijavunjika wala kutengenezwa popote ila kila nyaraka halisi za pikipiki ukiihitaji piga 0788059054/0715059054 niko dodoma
Dar es salaam -Samsung 40' LED Series 5, genuine, Surge safe, Full HD (1080P), Clear Motion Rate.. and several other features.. Inbox me for serious offers... The deal expires today 4pm.
Fist...
Nauza gari aina ya Noah ipo kwenye hali nzuri, namba ni T___ BZ_..
Specification zake ni hizi..
Make : Toyota
Model: Noah
Colour: Silver
Yeah: 2001
CC: 1998
Odometer: 112,000
Price ni...
Wakuu naomba anaejua kama kuna sehemu ninakoweza kufanyiwa full body massage hapa Morogoro mjini.
Nilienda vijijini na fuso yaan mwili wote unauma.
Natanguliza shukrani.
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
Nipo dar,
Bei ni 350,000...
Jina linabadilika baada ya wiki 2 ,
Line hazijawah kutumika ni mpya,
Mwenye kuhitaj ani PM alaf tutaongea kama ana maswal zaid, aache na namba yake ya simu...
Kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka kinauzwa kimbiji kigamboni km 1 toka baharini na kiwanda cha cement bei milioni 6, kwa mawasiliano 0657868981 nb eneo halipo katika mradi wa mji mpya na sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.