Ninauza compressor mpya ya upepo bado haijatumika. Size ya kati niliinunua 700,000/= na ninauza kwa bei poa ya 550,000/=. Nimebadili plan ya biashara. Serious buyer unaweza juwasiliana nami kwa...
Ndugu wananchi wenzangu Habari zenu!!
Kwa juhudi nilizozifanya mpaka sasa hazijazaa matumaini kabisa (kwa kipindi cha mwaka mzima mpaka sasa), nahitaji mtaji wa kiasi cha shilingi milioni 400. Je...
Ni dagaa hawa wa Magengeni wanapenda sana na kukua haraka. Kambale ninao na naendelea kuuza mmoja kuanzia elfu na mia tano kama utachukua wengi bei itapungua
Gesti nyenye vyumba kumi na sita na eneo kubwa kwa ajili ya kuegesha magari inauzwa,iko tabata kimanga barabarani,bado ni mpya haijaanza kutumika.
kwa mawasiliano zaidi piga
0714358610
Nahitaji mkopo Usiopungua laki tano wala kuzidi'' kiwango Hicho kwa aliye tayari naomba aniPM tafadhari ili niweze kuelewana naye kwa masharti maalumu.....
Kama ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza. Nauza LG smart phone kwa Tshs. 150,000, simu ikiwa na sifa zifuatazo:
1. Camera: 5 MP kwa back camera na front camera ina 2 MP.
2. Internal...
Habari zenu wakuu, nina nyumba naipangisha laki mbili na nusu kwa mwez kwa miezi sitasita.
Nyumba ina tiles, choo cha master na public, vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na stoo. Pia...
Je una biashara unahitaji kujitangaza? Karibu Starlink IT Consultancy uweze kupata Jinsi ya kutangaza biashara yako pia
unaweza kutengenezewa website, Logo kwa ajili ya biashara yako...
Habari zenu ndugu?
Nauza DVD Home Theater System, aina ni RCA, Model: STS8317W.
The STS8317W is the 5.1ins DVD Home Theatre System with 240W version. HDMI digital output with up conversion to...
Hellow wadau, Katika pita pita zangu nimekumbana na huu mtandao mpya kabisa yaani ndio umeanza leo wa kuuza na kununua bidhaa, Ingia hapa uanze kuuza na kununua vitu mbali mbali. tupost tangazo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.