Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ps 2 na games 10 for sale tsh 200,000 . Contact 0712652110 dar. Games ni nzuri sana
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Huku kwetu nimechunguza nikaona biashara ya kukodisha bajaji za kubeba mizigo ni nzuri Na nikaongea na wanaoziendesha wakasema hesabu ya tajiri kwa wiki ni sh elfu72, na gharama za kununua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama inavyoonekana pichani... mpya kabisa, bei 8.5Mil..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ipo pesa cash, 3m kwa yeyote mwenye hiyo Escudo milango 5, ilimradi iwe inatembea na ina vibali husika Je unayo? haraka tuma picha kwa Whasapp 0754734009
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepata mahali pakuchukuwa magunia ya TANGAWIZI ila nataka kujuwa bei ya kuuzia kwa gunia moja ni Tshs.ngapi kwa KARIAKOO? ASANTENI KWA KUNIJIBU KWA WALE WANAOJUA BEIYAKE. UNWEZA KUNI PM
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Year of manufacture 2001, 4Cylinder, km 131000, Automatic transmission price 8.5m (there is a room for negotiation) No middlemen, for further details you can reach me through 0655/0783 393035 ...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani nahitaji niuziwe diplay simu yangu sony z1 6903 . display yake imedata.unaweza kunipigia 0773471195
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Deals with: electrical installation,electrical goods supply,installation of electrical machine,electrical map drawing & satelite dish installation. cont: 0753505115 ,0715505115, email...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
habari wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa vodacom m-pesa bei tshs.200,000/= tu!!!!!! bei inapungua.Kwa anayehitaji nicheck kwa namba 0654404707.napatikana dar es salaam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. Nyumba kubwa inapangishwa eneo tajwa hapo juu. Ina vyumba viwili,store, jiko,public toilet, dinning,sitting room pia ina tiles. Maji yapo. Gari linafika mpaka mlangoni kwako. Haina uzio...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Habari Jf, Tunauza Deodarant spray kwa bei ya jumla, bei Tsh 3500 kwa pic1..tunauza kuanzia pic 40 nakuendelea na unaletewa hadi ulipo kwa Dar es Salaam. Call : 0718 446935
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau haka kapiki piki nakauza, trafic wanasumbua sana mpaka kero na najikuta sina kwa kuendeshea kulingana na maeneo nnayoishi. Haina shida yoyote ila watoto wa ernest mangu wamenichosha sana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
0658140183
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Tafadhar kwa yeyote mwenye vitu vifuatavyo naomba uniuzie, 1:scanner 2:binding machines 3:stepler machine ya saiz ya kati Kwa mtu mwenye hivyo vitu naomba tuwasiliane kupitia 0788562816 asanteni
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Nauza mafuta halisi ya alizeti yasiochakachuliwa ujazo ni lita 5 bei ni tsh 16500 kwa lejaleja napatikana mwenge Itv na mbezi beach makonde, karibuni sana
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Mwenzenu natafuta ipad iliyo kwenye hari nzuri iwe na memmory kama 16gb, camera nzuri na sehem ya lain pia wireless kwa bei nafuu kwa mwenye kujua ilipo naomba ani PM
0 Reactions
0 Replies
946 Views
habarini jamani za asubuh.ninahitaji hostel mitaa ya Mikocheni B iwe chini ya 50000 kwa mwezi.nawatakia siku njema
0 Reactions
0 Replies
802 Views
New Samsung Galaxy S4 kwa 250000 tuu! na warranty ya mwaka mmoja! tuwasiliane kwa kuniPM au kama upo interested au nichek kwa 0764361843
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yeyote anaehitaji mashamba ya kununua iringa ani pm, kwa sharti la kulipia 5% ya bei ya shamba ntakalo mtafutia na yeye kufanikiwa kununua.
0 Reactions
0 Replies
780 Views
wakuu naomba kwa mwenye information anijuze hivi hii SUV kuifikisha hapa Bongo inakuwa kiasi gani? ikiwa msrp (manufacturer's suggested retail price) ni 60,795 USD (100,311,750 Tshs).
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom