Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau naomba kuuliza. Mimi ni mfanyakazi wa serikali,nahitaji mkopo. Nahitaji kujua mfumo wa makato wa CRDB na NMB. Kuna mtu alinimbia CRDB wanatumia reducing system na NMB wanatumia direct...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Hello wanajamvi,natafuta chumba chenye vyumba viwili,kiwe ndani ya fensi,kiwe maeneo ya kimara.Budget ya malipo iwe maximum laki mmoja kwa mwezi.Mwenye information zozote ni PM please.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tatafuta mchanga wa kujengea nyumba ulio mzuri na bei nzuri. Site ipo Mbezi Beach, Tangi Bovu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa wanafunzi wote mnaosoma hizo combination tatu au una mwanao anasoma mojawapo kati ya Comb hizo,tunatoa private tuition kwa ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu sana....Hii ni special kwa wale...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
utanipa Tecno gani?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
TOSHIBA HHD 300gb, RAM 4gb, processor coi3 intel, imetumika mda mfupi call me; 0752415115
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Habari ndugu zangu, Kwa wale walionunua simu za Tigo, Airtel, Vodacom au kutoka mtandao mwingine wowote wanaotoa offer ya simu aina ya Huawei Ascend Y300 Y301 Y330 Y511 na Y530 nazifungua ziweze...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Blackberry Bold 9780 na. 9700 zina uzwa bei maelewano Call 0655803070 for nice negotiation Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Specification hdd 500gb ram 4gb procesor 3ghz ni pm bei uwe dar es salaam.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Natafuta Gevey simcards za iphones. Anyone aliyenazo holla!
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Natafuta sehemu ambayo naweza kujifunza Kung-fu. Maeneo ya Temeke naomba kujua na Gharama zake.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau habari za mchana wa leo? Ninahitaji kununua mashine (portable) ka ajili ya utambuzi wa noti hasa US Dollars. Kwa mtu aliyonayo AU anayejua wapi ninaweza kupata,tafadhali anijulishe kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tatizo la hii gari ni Hand brack na gear namba 4 inachomoka. Cc 1800 Type: Toyota Avensis Year: 2001 Fuel: Petrol Namba : T360 BEE Ipo barabarani.. Engine: 7A Manual Car BEI 3,500,000 Naomba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Year-2001 imeingia nchini nov 2013. Millage 110,000km, tairi na break bado mpya,comprehensive insuarance toka jan 2014. Road licence renewed toka 2014, haijawai pata ajali wala kupakwa rangi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ina vyumba2,sebule,jiko,choo. Bei laki3/mwezi -miezi6. Piga 0715350793
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kikiwa na nyumba ambayo haijamalizika yenye vyumba viwili vyote ni master,sitting room,jiko,store na public toilet. kiwanja kimepimwa na kina hati bei ni milioni 70 mazungumzo...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Npo dar natengeneza blog na logo Mfano cheki hii MACX BLOG #fursa
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Ni mpya imetumika kwa wiki 2, Specifications: Android OS: kitkat 4.4.2 (upgradable) Memory: Internal 16GB, 2GB RAM Camera: front 8 MP, rear 13 MP(wale wa selfie) Network: 2G, 3G, 4G LTE Others...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wana JF baada ya kuvamiwa na "Mbwa Mwitu" zaidi ya 10 nyumbani usiku, na kuibiwa na kujeruhiwa nahitaji ulinzi zaidi. Nahitaji Mbwa walinzi German Sherperd pure. Mwenye kuuza au anajua wapi...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Make Suzuki. Model Grand Vitara. Model Number J20A. Body type Station Wagon. Colour Green. Year of Manufacture 1998. Engine Capacity 1995. Fuel used Petrol. First registration 17/8/2010
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom