Wakuu poleni na majukumu. nahitaji kununua dagaa wa kutengeneza chakula cha kuku. yaani dagaa wa grade B.
watu wamezoea kuwaita dagaa wachafu. kwa wenye nao ni pm tafadhari. ila kabla ya ku-pm...
nyumba inauzwa ipo tabata segerea yenye vyumba vinne kati ya hivo vitatu ni self contained na kimoja ni cha kawaida, pia ina seatting room,kitchen store na public toilet.
ukubwa wa eneo ni squire...
Line ya tigo pesa inauzwa ipo Dar es salaam.
Bei ni 450,000
Haina utapeli na utahakikishiwa baada ya kufanya biashara.
Kwa atakayehitaji tuwasiliane hapa:
0787577755 au 0717577755.
Karibuni!
Ipo changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club. Inatazama barabara ya changombe.
Nyumba ipo ndani ya gate lenye parking ambayo ni free. Chumba hicho na baraza kina choo na bafu pamoja peke...
Jamani wana jamvi nina kingamzi cha kuuza cha kampuni ya azamtv yeyote ambaye yuko willing kukinunua naomba tuwadiliane bei ni maelewano namba yangu ni 0755520228.
Habari zenu wana jf.Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na biashara ya ream paper kutoka south Africa.
Kontena Moja linahitaji mtaji kiasi gani.
Gharama za usafiri pamoja na kodi ni kiasi gani...
NYUMBA & FLAME ZA BIASHARA ZINAUZWA BOKO MAIN ROAD Eneo lenye ukubwa wa 86m kwa 36m, lipo BOKO barabarani kabisa (MAIN ROAD), lina nyumba 4 zenye specifications zifuatazo; MAIN HOUSE: 4 Bedrooms...
Before designing the questionnaire the initial driver for its design has to be the research question, I mean
what are you trying to find out. After that is established you can address the issues...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.