Viwanja vinauzwa pamoja na shamba vyote viko maeneo ya Kongowe / Churwi Mbagala.
Mwenye uhitaji wa kiwanja na au shamba waweza kuwasiliana katika simu nambari 0754-441-333 / 0787-441-333 au...
Ipo changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club. Inatazama barabara ya changombe.
Nyumba ipo ndani ya gate lenye parking ambayo ni free. Chumba hicho na baraza kina choo na bafu pamoja peke...
Product
PDP
Display
43Inch
1024 x 768 Resolution
Clear Image Panel available
AUDIO
10W x 2 Sound Output (RMS)
Dolby Digital,Dolby Digital Plus
DTS Studio...
Maelezo kuhusu shamba:
1. Lina ukubwa wa ekari 30 (hatua 70 x 70)
2. Linatambulika na uongozi wa kijiji cha Ulaya, Kilosa. Kutoka kijijini mpaka Kilosa mjini ni km 15.
3. Liko kando mwa barabara...
Kwa wale wenye matatizo ya kuibiwa pesa za printing katika stationery zenu ufumbuzi umepatikana nina system inayotrack kila printing copy katika printer ziwe connected locally au katika network...
Wapenzi jamii forum!
Naomba kama mtu anaijua kampuni inayoweza kuchukua gari kwa kukodisha (car rental), anisaidie kuwapa contact zangu au kunipa contact zao. gari ni Toyota Hiace! naambatanisha...
ipo changombe road , temeke jirani na njia panda kwenda tcc club . Inatazama bara bara ya changombe.
Ni chumba na baraza na choo/bafu binafsi ila jiko una share na mwenzako.
Iko ndani ya gate na...
Wadau,
Nina hitaji chumba na sebule au vyumba viwili na sebule vya kupanga katika maeneo yaliyo jirani na Usagara sekondari.
Kama nikipata upande wa nyumba inayojitegemea au nyumba ndogo ya...
Habar zenu wakuu, mwishoni mwa mwezi wa saba nilipata chumba cha Self contained maeneo ya banana Ukonga, ila kwa bahati mbaya nimepata uhamisho wa kikazi hivyo basi natafuta mtu atakayeweza...
Msichana wa kazi anaitajika
Sehemu ya kazi ni Tabata segerea
Atakua anakuja asubuhi na kuondoka jioni
Majukumu ni kufua nguo,kuosha vyombo,kupika na mambo mengine madogo
Malipo makubaliano,ni PM...
Toyota Carina for Sale. Plate number T-CCY. Imported Sept, 2012. Price:- 8M negotiable. Gari ipo Dar el Salaam. For serious buyers, Call now: 0686569989.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.