Gari: Toyota Vista (ardeo)
Haina scratch wala damage yoyote
Imeendeshwa na my wife tangu inunuliwe
Very immaculate condition
Bei 5mil. Negotiable
Pm or call me in 0714010511
Wadau naomba msaada wenu, natafuta campuni inayotoa mikopo kwa riba na masharti nafuu, ili niongeze mtaji wangu kwenye biashara. Ukitaja campuni naomba na Contacts itarahisisha sana.
Asanteni...
Get exclusive offer from Multitec IT web solutions
Get a free website to advertise your business/company/organization online
The offer is valid for seven days from today 12/08/2014 and it...
Toyota Carina for Sale. Plate number T-CCY. Imported Sept, 2012. Price:- 8M negotiable. Gari ipo Dar el Salaam. For serious buyers, Call now: 0686569989.
WanaJF naomba msaada wenu
Nataka kununua Machine ya kusaga Mahindi hapa Arusha au naweza kuagiza Moshi kwa ajili ya kamrdai kadogo ninakotaka kufungua,
Nimefunga umeme wa three phase, na...
Habari Zenu Wakuu,mm Ni Mama Anaemiliki Ngombe Zaidi Ya 1000 Nje Ya Mji Huko Monduli.
Natafuta Tenda Ya Kuwauzia Watu Maziwa Ya Jumla Kwa Bei Nafuu Kabisa Ilimradi Uwe Na Usafiri Wa Kufuata...
Going Bongo ni movie ya kwanza ya kimataifa iliyotengenezwa na Watanzania na kuwashirikisha
Wamarekani, Wakenya na nchi nyingine mbalimbali kama Italy, UK, Serbia, Malawi, South Africa na...
Godown kwa ajili ya kukodiwa karibu na bandari Dar linahitajika haraka,
Size: 500 to 700 sqm.
Kama unalo au unamfahamu aliye nalo simu 0769142586 au fadhilipaulo@gmail.com muda wowote.
Mimi ni mtumishi wa serikali nilie ajiliwa chini ya TAMISEMI
Natafuta kampuni au mfanyabiashara yoyote anaeweza kunipa mkopo wa gari aina ya noah au hiace kwa mkataba wa kumlipa pole pole kutoka...
Wadau nauza hivyo vitu tajwa hapo juu..printer za hp zko mbili kila moja 90,000 na cctv camera zko mbili kila moja inauzwa 140000. Ni vitu vimetumika vilikua stationary so nahamisha mtaji nmeamua...
Nyumba inapangishwa Tabata shule karibu na mahitaji muhimu ya jamii kama hospital shule ya msingi na secondary kituo cha polisi.
Umbali wa hatua kumi kufika kituo cha Tabata Shule.
Nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.