Wadau nyumba inatafutwa urgently (Dar), chumba na sebule, iwe self contained, full furnished...location nzuri na budget isizidi $500PM...call me 0714010511 or pm
KIWANJA KIKUBWA CHENYE HALL KINAUZWA. BEI YA KUTUPA: KINAPATIKA YOMBO KILAKALA MAENEO YA CCM (DAR ES SALAAM), KARIBU SANA NA BARABARA KUU YA LAMI, UMEME NA MAJI NI KUVUTA TU VIPO KARIBU SANA. BEI...
husika na kichwa hapo juu
external zinauzwa
aina=>TOSHIBA
Uwezo=> 1 terabyte(1000Gb)
Bei=>160000Tshs.
kwa anayehitaji contact me:0757006221
au ni PM tufanye business.
THANX
Wakuu natafuta suzuki maruti omn za india kama kuna mtu anayo naomba anitumie whats up kwenye 0657 236094 iwe ni nzima na bei isizidi 4ml sichagui namba ila tu uzima wa gari bas
Do you have dream,,,
are you ready to learn new thing,,
do you know that there is a fortune in network marketing
and do you believe that there 1000 of tanzanian who earns more than 3million a...
Habari wadau.
Wale wanaopenda kujifunza kutengeneza Apps za Android tukutane Arusha Tech kutakua na course itakayoanza 18/08/2014 kwa wiki moja na bei ni sh 80,000/= tu hio ni phase 1. Na phase...
Mitandao jamii imekuwa moja ya nyenzo imara kabisa ya kujitangaza na kuwafikia walengwa wengi kwa uharaka na mapana zaidi kwa njia ya mtandao. Jiulize swali dogo tuu, je kwa siku za karibuni...
Nataka kujua kama kuna mtu anawafahamu hawa jamaa na recommendations zake vipi? Maana naona bei zao kama zimepunguzwa sana
Jina la kampuni Phokas Enterprises (UK) Ltd wanauza simu na vifaa...
Jamani mwenye pikup tani moja iwe ya Nissan au Toyota tuwasiliane ofa mil tisa ila kama inakidhi viwango hata kama zaidi ya hapo tunazungumza. Iwe nzima yenye no kuanzia b pia ianzie mwaka 1996
Viwanja vinauzwa pamoja na shamba vyote viko maeneo ya Kongowe / Churwi Mbagala.
Mwenye uhitaji wa kiwanja na au shamba waweza kuwasiliana katika simu nambari 0754-441-333 / 0787-441-333 au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.