Wadau hope mu wazima wa afya, ninahitaji ofisi ya kushare katikati ya mji mfano posta na maeneo ya jirani, mnazi mmoja na maeneo yote ya jirani, along nyerere road kuanzia tazara kwenda posta...
Inatafutwa used LandRover 110 pickup kwa ajili ya shughuli za shamba.
Iwe katika hali nzuri.
Kwa yeyote anayeuza/anayejua inapouzwa tafadhali ani-inbox.
Wadau mwenye mchongo wa chumba cha kupanga maeneo ya Kigamboni tujuzane. Bajeti yangu haizidi 80,000/-,kama naweza kupata self itakuwa poa sana. Ila sipendi nyumba yenye wapangaji zaidi ya watano...
Nauza kiwanja changu ambacho hakijapimwa maeneo ya kigambon mwembe mdogo jiran kabisa na magorofa mapya ya NSSF. Kiwanja ni nusu heka kiko barabarani kabisa. Kama utakua interested wasiliana na mm...
SIFA ZA SIMU HIZI HAPA:
General 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network HSDPA 900 / 2100
HSDPA 1700 / 2100 - American version
SIM Mini-SIM
Announced 2009, February
Status...
Habari WanaJF,
Nauza NOAH yenye hadhi ya upya!
Imetembea 41000KM to upya wake, AV multisystem (CD, MD & TV), wood stylish finish, Ready installed alarm system, well maintained with service...
Habari zenu... natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya ilala,vyumba viwili hadi vitatu maximum,bajet yangu ni laki 3-laki tatu na nusu kwa mwezi,kwa yoyote anaeweza kunisaidia na hilo,asanteni.
Nauza line zaTigo Pesa na M-Pesa. Jumla zipo 6 : Tigo Pesa line-2, M-Pesa line-2, M-Pesa head office -1 , M-Pesa second sim -1 . Nauza zote kwa pamoja 1,500,000 kwa sababu M-Pesa till...
Habari wanajukwaa.
napenda kuwajulisha kuwa sasa unaweza pokea fax zako zote kwa kupitia simu yako ya mkononi kwa kupitia huduma yetu ya fax2Email inayotolewa bure kabisa. unachotakiwa kukifanya...
Wadau nauliza kama kuna yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kuacha gari kuanzia asubuhi hadi jioni (kwa malipo) pale maeneo ya Mbezi mwisho. Maana foleni sasa imekuwa balaa hapa mjini. Ni bora...
ninauza/kupangisha banda langu ambalo lipo dar es salaam maeneo ya kongowe-toangoma. Lipo karibu na barabara kuu iendayo kigamboni. Kutoka kongowe unashuka kituo cha sako ni kituo kama cha 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.