Wadau nyumba ya vyumba vitatu(3 bedrooms), 1 sitting room, 1 kitchen, 2bathrooms,na attached car parking. Inapangishwa maeneo ya Kiseke jirani na
shule ya green view. Nyumba hii ipo kwenye good...
Je unahitaji baiskeli at wholesale price?
Upo tayari kuchukua kiasi gani in bulk?
Kuna mfanya biashara yupo London anahitaji partners ambao watanunua mzigo. Baiskeli zipo curved na straight...
GAToyota Chaser Rafline, milage 100,900 rangi nyeupe ya mwaka 1989 inauzwa. Niliinunua kwa Mhindi mwishoni mwa mwka jana baada ya gari niliyokuwa nimeagiza kuchelewa kufika name nilihitaji gari ya...
Naomba kuuliza kwani niwahi kuleta scania Tanzania mwaka 1999 na 2000 lakini wakati ule hakukuwa na Biashara kama sasa ,Je nomba kujua ni Scania gani kati ya hizo amboyo naweza kuuza kwa mara...
Traders Easy Way was established to help small businesses in third world countries to find reliable manufacturers in China. Importing from China is risky, because the country has so many suppliers...
HII GARI BADO IKO SOKONI FOR SERIOUS BUYER ONLY PLEASE CALL 0685100909, GARI IPO KATIKA HALI NZURI, CC 990, km 100,000 bei ni 7m kwani gari bado ni mpya, Gari iko Songea- Mbinga
Hey guys kama title inavyosema .......nataka mtu aliye willing tubadilishane simu. Mimi nina a jailbroken iphone 3g ya 16Gb iko kwenye hali nzuri. Nataka mtu yoyote mwenye simu original na iwe n...
Wadau nahitaji tea bags tupu kwa jili ya kupaki product yangu, ziwe za kuseal kwa moto au roll kwa ajili ya kukata na kuseal kwa staple pin. Mwenye kufahamu naweza kuzipata wapi kwa bongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.