Wadau, mwenye gari ndogo (salon car) manual, iliyo katika hali nzuri kabisa inahitajika. Iwe imelipiwa ushuru na nyaraka zote muhimu.Iwe ni gari yenye ubora na kiwango na si bora gari. Mimi nipo...
jiko la kupikia/kutengeneza burger linauzwa iko kubwa na dogo bei 1.9milion zote linatumia umeme...kama kuna mtu ana idea ya biashara hiyo au anataka kufungua sehemu ya kuuza burger anicheck...
MUNGU MKUBWA ..TUNAANZA KIDOGO ..MUNGU AWABARIKI NDUGU NA RAFIKI ZANGU
Hatimaye kesho naingia rasmi Kuzungumzia SOMESHA MTOTO MMOJA. Asubuhi kuanzia saa moja na robo nitapata muda wa kufafanua...
Gari nahalinzuri sana, inafaa kwamatumizi binafsi au Tax, nitext kwa 0717100777 nikutumie pictures kwa whatapp
bei ni Tsh.4.5mil, maelewano yapo, unaruhusiwa kutest na kukagua gari, imelipiwa...
Habari jf users
Ni wapi naweza pata mashine ya kukanda na kuoka ngano kwa ajili ya mikate ,keki, biscuits nk
Pia wapi naweza pata mashine kwa ajili ya kufulia nguo na kuanzisha dry cleanings
habari wakuu
jaman naomba kujua kuhusu hii kampuni ya forever living product, kwann kampuni inataka watu wengi wajiunge? halafu kwanini inasemekana inatoa faida kubwa sana kwa wanachama?
m-power ni kampuni iyo toa huduma ya umeme wa jua(solar) za kukodisha.inakupa ofa ya mtambo wa daraja la kwanza ambao unauwezo wa kuwasha taa kubwa 1 na ndogo 1 na kuchaji simu kwa gharama ya...
Kiwanja kipo maeneo ya Vianzi.kilimeta 3 kutoka kongowe.Kipo sehemu nzuri tambalale.Kina ukubwa wa hatua 40 mtrs kwa 25mtrs.....kwa mawasiliano piga 0713649555
Nauza lain ya mpesa na airtelmoney kila moja laki na elfu sabin.mpesa lak na 70 na airtel money lak na 70 karibun.waweza wasiliana nami kwa namba 0712620078
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.