Kiwanja kinauzwa kwa haraka sana kina ukubwa wa 40 x 30m. kipo karibu na kituo cha daladala. umeme upo. gari linafika hadi kiwanjani. bei 9m mazungumzo yapo
Well wadau mie ni muajiriwa kanda ya ziwa bukoba katerero moja kwa mtu binafsi ila kuchomoka dakika 2 tatu kwa siku naweza.
Simnajua tena vimshahara vya waswahili nafikiria kuzungusha hela kidogo...
Nauza camera yangu Nikon D7000 16.2 MP Digital SLR, ina professional lens za Tamron zenye range ya 28-200mm kwa 1.5 M. The camera is almost new, imetumika miezi 4 na nusu, haina tatizo lolote. Ni...
Nataka kazi hata za site maana
ake hapa nimechoka kulala nje
kila siku jamani msaada wenu
kila siku mimi tu Why me So
naombeni hata mwenye kujua
kazi ipo anicheki kupitia
mtandaoni kupitia...
Je uko Dar,
Mbeya au Arusha?
Unahitaji samaki kutoka Mwanza?
Wasiliana na Grace Fish Delivery Services.
HUDUMA ZETU: Tunakukaangia samaki usiku (fresh kutoka ziwani) na
utazipata siku...
The Torch is the first Blackberry phone with a Touchscreen along with the slide out keyboard. It runs on the latest Blackberry 6 Operating system.
Highlights of BlackBerry 9800...
Salama wakuu,
Black berry 9900, Bado ina hali nzuri kwa 200,000tshs
Ni touch screen
SPECS;
touch screen
double camera
internal memory 8gb, extended memory upto 32gb
Kwa mwenye shida, tuongee...
90% of anti-virus softwares won't guard you against thethreat of Keyloggin theft. Learn about it by listening to this 3 minutes videoand claim your free stock shares with American Technology...
mitsubiSh lancer namba B.....rangi ya silver.haili wese iko katika hali nzuri bei 5.5mln.nyingine iko ni rav 4 mlango mitano 1999...manual gear bei 6mln...kazi kwenu kwa anayetaa khsu picha ni pm...
Please nahitaji kununua used engine ya mercedes benz 102 ya petroll ambayo bado iko kwenye very good condition , kama unayo au unafahamu zinakouzwa pls saidia mimi. Asanteni na heri ya mwaka mpya.
Je unahitaji spares za magari haya:
BMW
Mercedes Benz
VW
Scania
Volvo
na mengine mengi ambayo spare zake si rahisi kupatikana? Kama unahitaji nitumie PM na utazipata mapema iwezekanavyo.
Blackberry torch 9810 zinc grey smartphone, 5.0MPauto focus, micro usb compatible port for data syncronisation and charging, rechargable lithium battery,quad band GSM support:gsm 850,gsm 900...
Kua miongoni mwa watu wanaojivunia kuwa na nyumba zilizobuniwa kwa viwango vya kisasa .
Sisi tutakusaidia kukudizainia kwa gharama nzuri ,
Karibu sana kwa huduma zetu.
( interior design ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.