Habari wakubwa, naomba msaada wa kupata mashine ya photocopy aina ya canon iR 1600 yenye sifa zifuatazo;
black&white Device
print at 16 pagee per minute
A3 max paper size
Network Ready...
Wadau, naomba mwenye kujua ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa 2,500,000 Tshs kwa dhamana ya gari yangu halali (Demio Mazda) ambayo iko katika hali nzuri.
Narudisha tarehe 31 May, 2014...
Habari! Natengeneza website kwa 50,000 pia natengeneza blog, logo.
NB: Bei hiyo ni kutengeneza tu, gharama ya domain name na ku host ni juu yako.
Kwa mawasiliano 0757660245
Wadau nanunua simu tajwa hapo juu, iwe kwenye hali nzuri, no scratches,iwe na accessories Zorro, rangi yoyote na betri isiwe kimeo , bei ni 200000 Tshs. Mwenye nayo tufanye biashara
Kwa mahitaji ya viwanja ktk kata ya moshono visivyo na mgogoro,maeneo yanayopitika,wasiliana nami.
0764271322
Maeneo yaliyopo miongoni mwa yanayouzwa ni miguu 25 kwa 14 kwa mil 15,miguu 28...
Habari zenu wadau?Ninaomba kufahamu mambo ya msingi ya kuwanayo na ya kufanya unapotaka kufanya hii biashara ya Mpesa au Tgo pesa.Na mtaji wa kawaida wa kuanzia ni kama bei gani?Pia unaweza...
DELL INSPIRON N5050 FOR SALE
HARD DISK 500GB
RAM 2GB
Intel® Pentium® processor,2.38ghz
webcam,bluetooth
BATTERY 2.30 Hours
Price 450000
contact:0752385949
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.