HAbari wanaJF,Nauza line ya m-pesa(Zote mbile ya bank na ya kufanyia kazi). Naenda shule so nimeamua kuuza. IKO SAFI INAFANYA KAZI MPAKA SASA
BEI MAELEWANO. NI PM, Napatikana UKONGA - MOMBASA.
Hawa ndio madereva pikipiki/Toyo wazuri
kwa uendeshaji tena waaminifu.
Wanapatikana katika wilaya ya
Bunda mkoani Mara. Vijana hawa
wanapaki mtaa wa baisikeli nyuma
ya soko kuu karibu na duka...
Habari zenu wakuu,.
Gari aina ya Suzuki Carry inauzwa,
Gari imetoka Japan haina hata mwezi hapa Dar es salaam,.
Gari imesajiliwa tiyari kwa kuingia barabarani wakati wowote,. Alphabeti...
Helow wana JF. Nauza HTC one S stil bado mpya for 450,000. Kama unaihitaji check mi 0716-369299. Nipo dar es salaam
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wapendwa,
Kama kuna mtu mwenye laptop ya bei poa inayo kaa na charge kuanzia 7hrs na kuendelea anijulishe.
Huwa nasafiri maeneo yenye shida ya umeme...ila kwa sasa nipo Moshi/Arusha
Habari wadau. Gari zinauzwa na maelezo yake hapo chini.
Maelezo ya gari haya hapa;
2002 Toyota Opa
Bei: 10.5Mil
Color: White
Mileage: 27,000km
Engine: 1780cc (VVTi), Auto
Kodi imelipwa (Haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.