ndugu wanajamvi, eneo zuri ekari nne na robo nyuma ya chuo cha mipango Dodoma linauzwa tsh 200,000,000 maongezi yanaruhusiwa. wasiliana na dalali no 0714355068
Habari zenu wandugu.
Naomba kura zenu ili kuniwezesha kuwa mshindi wa mashindano ya kuchora nembo (LOGO) ya clouds fm #Kuwa mzalendo #sambaza upendo kwa kufungua hii link na kuweka comment yako...
Nyumba iwe ya vyumba vi 2 vya kulala,sebule na jiko.iwe na fensi na geti la kujitegemea lenyewe.nataka mtaa uliotulia yaani kila mtu kwake na kusiwe na uswahili.kuanzia segerea kuendelea...
Habari wakuu...
Nilikuwa nahitaji mtu ambaye nitaweza kubadilishana nae simu..
#mm natumia Tecno Phantom A plus (A+) bado mpyaaa,
*android version 4.2.1 jelly beam
*Ram 1Gb
*Processor 1.2Ghz...
hey wandugu haya huawey y300 nauza fasta tatizo ni moja tu ina creck kwenye dispray so kama upo serious njoo pm mimi nipo dar na bei yake nauza 140000 maelewano yapo kidogo
Habari zenu
kuna stock ya mzigo wa computer desktop wenye sifa zifuatazo
aina rm
processor dual core 2.0
ram 1gb
hard disk 80 gb
flat scren 15 inch
mouse
keybord
cables
vyote kwa bei ya laki 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.